Chadema ni chuo kikuu cha uongozi, wanaotoka huku huwa ni cream ya uongozi, ni bahati mbaya kwamba katambi alikimbia kabla hajawiva vizuri, chadema huwezi kuta hata kada mwenye akili za hovyo kama zako, muulize kitila mkumbo, muulize kafulila, muulize ayoub ryoba, au kaa na Zitto ujifunze jambo.
Hapa hakanyagi, nikimuona pia nataka nimuulize kulikoni ma nchi ya kiislamu karibu yote yamegeuka war zones wakati wanaongozwa na sharia laws za kwao wenyewe pasipo .kuingiliwa na mfumo kafiri kama wanavyouita huu wa westerners? Au sharia law imeshindwa kuwapa amani na imegeuka hakhi law ambapo...
Pepo ni just mindset, kuna kiwango cha ujinga ambacho mtu akikifikia kinageuka na kuwa upunguwani, upunguwani ukiongezeka unakuwa kichaa, wale tunaowaona wakigaragara na kupiga mayowe wapo kwenye stage hiyo, kile ni kichaa chepesi, kiki develop kinakuwa kichaa kamili.
Rais wa nchi anatangaza ziara ya muda mfupi kuitembelea nchi ambayo yeye ndiye rais na unaona ni kawaida? Wewe nawe ni msukule msengerema, tena ni kumernyoofu na ndefu mno,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.