Mwenye feza si mwenzio, Mwizi wa kuku, wadokozi na vibaka, hupata Mvua nyingi sana, Mafisadi,wezi wa maliya umma , hupeta tu mitaani na kulundwa sana, Ulimwengu wetu hakuna haki bila Usawa, Mwenye nacho ndiomwenye haki tuu ndio yanayotendeka hapa TZ. " ZOMBE case "nk,nk.