Recent content by Cantona fundi mkuu

  1. Cantona fundi mkuu

    Showcase za ukutani Kwa 850,000

    Sawa boss tutakutengenezea Kwa rangi yoyote utakayo
  2. Cantona fundi mkuu

    Showcase za ukutani Kwa 850,000

    showcase za ukutani za kisasa kabisa Kwa bei cheeeee.. hii tunatumia bodi ngumu mbao na stika. tunapata muonekano ole ule wa pvs panel na Mable sheet na melamine. bei halisi hutegemea na ukubwa wa ukuta wako boss na aina ya material tutakayotumia tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya...
  3. Cantona fundi mkuu

    Showcase za ukutani Kwa 850,000

    showcase za ukutani za kisasa kabisa Kwa bei cheeeee.. hii tunatumia bodi ngumu mbao na stika. tunapata muonekano ole ule wa pvs panel na Mable sheet na melamine. bei halisi hutegemea na ukubwa wa ukuta wako boss na aina ya material tutakayotumia tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kazi...
  4. Cantona fundi mkuu

    Vibanda vya kisasa vya biashara

    Kwa mahitaji ya vibanda vya kisasa. Tunatumia mbao ngumu na bodi ngumu. Finishing ya film stickers na PVC panels.n.k tupe oda boss tukutengenezee lako. Vibanda vya juice. Vibanda vya wakala. Vibanda vya migahawa. Vibanda vya walinzi. Vibanda vya ofisi ndani ya magodauni ya viwandani. Boss...
  5. Cantona fundi mkuu

    Shelves za kisasa za madukani

    shelves za madukani. maduka ya simu,vipodozi,vifaa vya umeme, supermarkets. duka la dawa. tupe oda boss tuje kutengeneza shelves za duka lako. tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kazi. 0692477610
  6. Cantona fundi mkuu

    Kitchen cabinets za kisasa

    kitchen cabinets za kisasa kabisa ���.. karibuni sana maboss zangu bei zetu zipo chini sanaaaaa ila ubora wa kazi ni 🔥 gharama za kutengeneza kitchen cabinet inategemea na ukubwa wa eneo lako la jiko na material utakayohitaji tutumie.. tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz.. 0692477610
  7. Cantona fundi mkuu

    Viti vya pallets set 250,000

    Viti vya pallets Kwa ajili ya migahawa,pub,cafe na bar. Tupe oda boss tukutengenezee viti vyako tunatumia mbao ngumu( mlingoti) Tupo Dar mbagala mikoani tunafika kufanya kazi 0692477610
  8. Cantona fundi mkuu

    Showcase za ukutani. Bei 480,000

    maboss zangu showcase za ukutani za bei rahisi kabisa ila muonekano 🔥🔥 hiyo niyaukutani lakini pia inahamishika. showcase tu bila taa za urembo 480k tupi dar mbagala 0692477610
  9. Cantona fundi mkuu

    Shelves za madukani 280,000

    shelves za madukani. Kwa maduka ya nguo,vipodozi,dawa n.k. tupe oda boss tukutengenezee Yako. tupo dar mbagala. 0692477610
  10. Cantona fundi mkuu

    Showcase bei 550,000

    Iyo ni laki 5 na nusu boss. Wala haifiki laki 7 ukihitaji ya lak 7 inakuwa ni full panel ukuta mzma
  11. Cantona fundi mkuu

    Showcase bei 550,000

    🤣 Hakuna mbao apo ni umaskini wako tu unafanya uone mbao🤣🤣
  12. Cantona fundi mkuu

    Showcase bei 550,000

    Apna boss. Ni melamine board, PVC panels na Mable sheet. Najua umeuliza natumia mninga ukiamini mninga ndio mbao ya gharama.. Google izo material zinazotumika uliona bei zake utarudi kuja kutoa ushuhuda na kusema iyo 550 ni kubwa au ndogo
  13. Cantona fundi mkuu

    Showcase bei 550,000

    🤣🤣 Mzee upo mkoa gan maana naweza kukujibu kumbe upo mwinde huko ntakuwa natwanga maji kwny kinu tu
  14. Cantona fundi mkuu

    Showcase bei 550,000

    🤣🤣 Mzee hapo akuna material yakupigwa rangi apo izo mbao ni melamine board google uonebei zake.. pembeni kushoto ni PVC panels kagoole bei ya pc 1.. Hapo kwny tv ni Mable sheet nayo google bei yake Kisha irudi useme iyo 550k ni sawa au niongeze.
Back
Top Bottom