Kuna ukweli ambao hautasomwa kwenye vitabu vya elite, hautaandikwa kwenye mitandao ya kifeminist au kwenye mafunzo ya “modern relationships.” Ukweli huu hujificha nyuma ya tabasamu la mwanzo, ule wakati wa mapenzi ya ujinga, pale kila kitu kinaonekana rahisi, kila kosa linaweza kufichwa kwa...
Alizaliwa kwenye familia ambayo haikuamini katika mazungumzo, haikuamini katika kuelewana, haikuamini katika maoni mbadala. Bali heshima ni utii usiohoji, na upendo ni zawadi inayotolewa tu kwa wale wanaofuata mstari. Baba alikuwa mwepesi wa hasira, mzito wa kusikiliza. Kosa dogo lilimaanisha...
Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na kutenda kama mmiliki.
Kuna watu wanatembea kazini kila asubuhi kama watalii kwenye...
Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na kutenda kama mmiliki.
Kuna watu wanatembea kazini kila asubuhi kama watalii kwenye...
......................Ni sawa na kusema kua Mjasiriamali Hata Ukiwa Mfanyakazi.
Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na...
Nilipoangalia mfululizo/series hizi – The Godfather. Game of Thrones. Breaking Bad. Ozark. Snowfall. Narcos. Better Call Saul – nilikuwa natafuta burudani. Lakini niliyokutana nayo ni ukweli uliovikwa mavazi ya maigizo.
Kuna dunia tunayoiishi, na kuna dunia inayotuendesha. Si dunia ya ardhi...
Salaam, mara nyingi nimekuwa mpenzi mtazamaji hapa JF, leo nkaona nidondoshe uzi kwa mara ya kwanza, nilipotaka weka uzi platform ikanitaka niwe a registered member basi nikafanya hivyo nakusubiri approval na siku ya leo ndio my JF ac imekua approved. Direct to the topic.
Tanzania na Afrika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.