Recent content by Bwege2030

  1. Bwege2030

    Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha tu biashara

    INAUZWA! KABATI YA KIOO YA ALUMINIUM Gharama za Delivery ndani ya Tanzania bara ni juu yangu,kama ni Zanzibar Gharama ni Kwako
  2. Bwege2030

    Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha biashara tu

    Atakaeihitaji anitafute Whatsapp namba ipo hapo...kama ni Delivery nafanya ila ndani ya Tanzania bara tu , Zanzibar kama ni Delivery Gharama ni Kwako
  3. Bwege2030

    Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha biashara tu

    Zangu mwenyewe,kama ofa tu Lakini Wewe unasema uko wapi, mawasiliano..ili kujua namna ya kutuma... Baada ya malipo
  4. Bwege2030

    Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha biashara tu

    INAUZWA! KABATI YA KIOO CHA ALUMINIUM
  5. Bwege2030

    Kuna uwezekano mwanamke wa dini la Anglican kuoana na mwanaume wa dini la kiislamu?

    Ni tofauti...kikristo Kuna utatu...na ukiislamu Kuna umoja..
  6. Bwege2030

    Kuna uwezekano mwanamke wa dini la Anglican kuoana na mwanaume wa dini la kiislamu?

    Habari Ndugu zangu, Mimi Kuna jambo napenda kuwashirikisha labda huenda naweza pata suluhisho..kama kuna mashehe humu au wachungaji mnisaidie.. ~Mimi binafsi Kuna Binti tumependana, tumependana mpaka kwenye hatua ya kuwa tusipoonana Binti anaanza kulia...ila sasa Binti ni wa dini la Anglican na...
  7. Bwege2030

    Nyumba yenye vyumba 6 inahitaji tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi?

    Jamaniiiiii habari za asubuhi! Kuna fundi anaeweza kunisaidia kukadiriae...? Nikitaka kujenga nyumba yenye vyumba 6 .. nahitaji kutumia tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi? Na bati ngapi?
  8. Bwege2030

    Tajiri hununua mali, maskini hununua hisia

    TAJIRI HUNUNUA MALI,MASKINI HUNUNUA HISIA Tofauti ya utajiri na umaskini haipo kwenye kiasi cha mshahara,bali kwenye Akili ya Kuwekeza (Investor Mindset). Utajiri wa kweli haupimwi kwa pesa unazopokea,bali kwa mali zinazokulipa hata ukiwa umelala. Mtego wa Hisia dhidi ya Mali Watu wengi...
Back
Top Bottom