Recent content by BwanaCarlosTz

  1. B

    Ndoa ya Miaka 30 Kuishia Talaka: Makosa Mapya au Uvumilivu Uliofika Mwisho?

    Mleta mada ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze na sio kufuatilia maisha ya watu.
  2. B

    Wengine waliongea nini na Mungu wakiwa tumboni hadi wakazaliwa familia yenye watu wenye majina makubwa?

    Asee, kuna watu wanaanzisha hoja ambazo hazina mantiki au kabla ya kuandika uzi...unavuta bangi kwanza.
  3. B

    Mapya ya Kutekwa kwa Grace Shio: Kumbe aliyelengwa alikuwa Sugu, baada ya kutafakari wakamteka Katibu wake

    Duh! Kwa propaganda upo vizuri ila bongo. Bado tuna safari ndefu sana.
  4. B

    JE, UTARATIBU WA MAHARI SI MZIGO KWA UPANDE WA MWANAUME?

    Mkubwa, usitafute kichaka cha kujificha. Toa mahari ya watu, usilete hoja zako ambazo hazina mantiki, mahari ni mila na desturi za africa kama hauna kibunda pita kushoto wenye mahari tunakuja kuoa.
  5. B

    Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

    Duh! Hatari, pole sana kwa madhila ambayo unayapitia wakati huu lakini siku zote binadamu hatufanani hata kidogo kila mtu ana changamoto zake..pole sana maana ukiangalia age ni lazima tu watakuhukumu ndio binadamu tulivyo inabidi uzoee.
  6. B

    Nashauri serikali za mataifa ya Afrika ziendelee na mipango ya kuwaondoa raia wake nchini Afrika Kusini, kinacho endelea kinatisha

    Pole sana ndugu zetu wa afrika kwa madhila ambayo mnapitia wakati huu, rai yangu kwa mamlaka husika zitafute suluhu ya kuwaondoa wageni kistaarabu na wawaruhusu wauze basi hata mali zao walizochuma nchini humo na sio kuwaondoa mikono mitupu wawe na utu je, wakirejea kwenye mataifa yao wataanzia...
  7. B

    Nchi za Afrika za Francophonie na Common wealth zinalipa Trillion 3000 kila mwaka kwa Ufaransa na Uingereza kama fidia ya faida za ukoloni

    Hii mada iishie hapa maana chuki yangu dhidi ya wazungu inazidi kuongezeka, tatizo africa hatuna teknolojia ya kutuwezesha kuchimba rasilimali zetu na kuzichakata kisha kuzipeleka kwenye masoko ya dunia, halafu huu mgawanyiko umetuangusha sana na kuzalisha nchi nyingi maskini ambazo hata hazina...
  8. B

    Chadema kupeleka maombi mahakama hukumu ya Tundu Lissu irushwe live

    Ombi la chadema likikubaliwa na mahakama itakuwa poa sana kutazama hukumu mubashara, lissu akiibuka mshindi kwa kishindo.
  9. B

    Taifa Latabasamu Na Kububujikwa na Machozi ya Furaha Baada ya Kumuona Rais Samia. Anapendwa Na Watanzania Kuliko Pesa Inavyopendwa

    Luca/tlaatlah, wapo kazini wenzenu wanalipwa posho, buku 7/7 zao, wanaenda kukojoa kisha wanalala.
  10. B

    Rais Samia Ni Jasusi Hodariii ,Amefanikiwa Kuwamaliza Nguvu Wanaharakati na Kuwaanika Uzushi wao. Njaa Imepiga Kambi Kwenye Kambi zao

    Duh! Baba yako angejua anaenda kusomesha chawa, bora hiyo ada angeenda kuburudika na wazee wenzake kijiweni.
  11. B

    DOKEZO Huu ni ufisadi wa kutisha! Haujawahi kutokea katika kulihujumu Taifa, na unafanywa na viongozi wakuu wa Serikali!

    Ama kweli banadamu tuna roho za wivu hatari hashumu hata ni wewe ungepewa hiyo V8, ungeikataa? Acha watu wale bata wafaidi taifa lao hujui wamepitia msoto kiasi gani kupata hizo nafasi serikalini, kuna watu wametoa kafara ndugu zao, wengine wamelala makaburini ili apate V8, we unaona matokeo ya...
  12. B

    Bibi miaka 78 jela miaka 30 kisa bangi kilo 33.25

    Duh! Inasikitisha sana, mi nafikiri labda familia yake haikuwa na fedha za kuhonga ili aachiwe, hii nchi imejaa rushwa sana.....duh......hatari sana, gen Z, tuzingatie sheria.
  13. B

    Hivi ukigundua mtumishi mwenzako anafanya majukumu yako ambayo hayamhusu kazini utafanyaje?

    Huyo anataka kuharibu kibarua chako mkuu, kama vipi muelekeze kwamba anazingua na mstari anaouvuka kitamramba au kama vp muendee kiringeni kamfunze adabu ajue maisha yanaendaje.
Back
Top Bottom