Recent content by Bwana Ndea

  1. B

    Nilipata ajali, nikafanyiwa 'stiching'

    Hakuna formular kwenye matibabu, ukitatizika muone/muulize daktari wako akupe majibu. Saa nyingine mgonjwa anatibiwa kulingana na machaguzi ya daktari (clinician decision). Hilo la kuanzia hospitali "A", nyuzi unataka kutolea hospitali "B", kidonda kinapata shida unakipeleka hospitali "C"...
  2. B

    Unamkumbuka Bill Duke?

    Ni commando au predator..[emoji41]
  3. B

    Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

    Sio uongo wataalamu wanaongea kwa mujibu wa uwanda wa taaluma yao, kinachofanyika hata katika watu wanaotumia dawa za kisasa za kifafa kwa usahihi inawezekana mtu akakaa muda mrefu pasina kuwa au kuonyesha dalili za kifafa, nilishawahi kukutana na mtoto ana miaka 12 anatumia hizo dawa lakini...
  4. B

    HIV rapid test

    Ile inaitwa Determine HIV rapid test ina sensitivity ya 99.4% na specificity ya 99.6% but most of the time majibu yake yakija positive unatakiwa ukacomfirm na kipimo maalum cha HIV unigold standard nadhani nimesomeka mkuu
  5. B

    Naomba ushauri na tiba ya kikohozi na mafua kwa watoto

    Je, pana history yoyote ya ugonjwa huo au wenye kufanana na huo kwa upande wa familia za wazazi (AU HISTORIA YA UGONJWA WOWOTE WA KURITHI) ?
  6. B

    Naomba ushauri na tiba ya kikohozi na mafua kwa watoto

    Kikohozi cha muda mrefu kwa watoto kinaweza kusababishwa na v2 vingi ila kimojawapo inaweza kuwa pumu (asthma ), inahitajika kufahamu pia Kikohozi hicho anatoka na makohozi ama ni kikavu na kinazidi hasa wakati upi wa msimu au wa siku .je huwa anatumia dawa gani walau kukituliza na je anapata...
  7. B

    Msaada kwa al Shabaab toka Tanga

    mkuu weka link na sie tuone....:yo:
  8. B

    Jessam Nyato ateuliwa kuwa waziri mkuu wa serikali ya chuo kikuu cha sayansi na tiba cha mt. Fransis

    ukiona mwenzio kaweka post ambayo huna level za kuichangia unakausha kwani k2 gani au ndo unataka kuonekana una uwezo wa kuchangia kila topiki mdogo wangu?? hz sio taarab eti "chuo chenyewe cha kata,alafu kipo porini" hivi chekecheo lako kichwani linafanya kazi kweli au lina matobo...kenge...
  9. B

    Kubadili matokeo IV 2012: Prof. Mukandala aivimbia serikali!

    Binafsi sipendekezi njia ya kuachia ngazi kama utatuzi kwa maana wakiachia wao wataletwa watu wengine kuja kusimamia ambao pengine hawatakua na mlengo kama wa kina ndalichako yaani kwa wao kuwapitisha watoto waliofeli kwa agizo la serikali itakua ki2 cha kawaida sasa hapo mkandala na ndalichako...
  10. B

    Kuinstall window kwa kutumia external device kama flash disk, external hdd, au memory card.

    tumia external dvd rom kama copy yako ya wndw iko ktk cd halafu unaboot kama kawaida(inategemea na ain ya kompyuta yako)kumbuka ukimaliza installation kua-ctivate wndw yako kwa ajili ya kuifanya iwe genuine ciao
  11. B

    Sasa technologia inakua,.nimeamini!!!!!!

    uongo hautakiw hum na ww ushakua m2 mzima jipang baaaab
  12. B

    Sifa za Mwanamume wa kweli (A real man) tena wa Kiafrika

    But kuna mengine itakubidi ulie bro,mfano kama baba umeibiwa mtoto na mwanamke kisa mmeachana na hujui alipoenda huna namna kama mm kulia hua ni njia ya kunipunguzia hasira kwa haraka
  13. B

    Thanx God,nimechaguliwa UDSM !

    jamani mlioona tuoneshane jinsi ya kufungua wengine mpaka sasa hivi hatuna amani:A S cry:
Back
Top Bottom