Niko hapa kukunga mkono na kuunga mkono andiko hili. Ni kweli na mie ni shahidi kutoka kwa maalimu mmoja wa dini ya kiislamu kutoka shule Moja ya dini ya kiislamu mkoa mmoja Kanda ya ziwa, kwa kinywa chake alikiri mbele yangu kwamba mambo ya ushoga kwa hapa Tz yameletwa kupitia Zenji na wao...
Watu Sasa wanashindwa kujua wafanye Nini, si mvua kama ilivyotabiriwa Bali ni jua Kali sana naw joto la tanuru. Na tunakoelekea kutakuwa na milipuko mikubwa sana ya magonjwa, hii itasumbua sana uchumi wa wakazi wa maeneo haya maana watu wazima na watoto watakuja sana kutokana na hari hii...
Nendeni KATA Moja inaitwa Viziwaziwa fanyeni unyatiaji mtapata Hilo eneo. Tumieni mbinu zenu na muwahusishe Tanesco kibaha maana Hilo wanalo na wanatamba nalo kana kwamba hii nchi Ina first, second na third classes. Hata kama ni deni la square kwanini umeme watu wasipewe alafu wataendelea kulipa...
Mie pia nashauri ni Bora Hilo zoezi mkafanya wenyewe na msiwahusishe hao viongozi wa huku chini. Viongozi wengi kwenye mitaa/vijiji ni watu wa rushwa, Wana upendeleo, ni wabaguzi kwa wale wasiowapenda n.k hivyo ni Bora mje wenyewe mkishajitambulisha kwenye ofisi zao nendeni pekee yenu ili mpate...
Labda niwasaidie majina ya eneo alafu mtafatilia wenyewe maana siku hizi tunaogopa wasiojulikana na ni kwasababu haya mambo mengi huku chini yanahusisha dili za watu. Tunajua huko juu huenda hamjuhi ila na sie kweli tuna hofu na usalama wa maisha yetu. Kama mko tayari niwape majina ya eneo...
Ndo maana tunasema mko kama wamama wanaume wa Pwani. Wewe inakuhusu Nini kama mwanamke kaja kwangu kaamua kunipenda na govi langu wewe kinakuuma Nini ama unachomekwa wewe? Sema kama uliwahi kuchomekwa ukakosa utamu ndo uje hapa uwawakilishe wanawake na kama si hivyo basi wewe huna kazi za...
Habari ya Leo mheshimiwa.
Niwapongeze kwa Yale mnayojaaliwa kuwatendea watanzania, mbarikiwe. Maelezo Yako hivi, eneo Moja ndani ya mkoa wa Pwani wananchi hawaruhusiwi kupata umeme kisa wanadaiwa malipo ya square meter kwenye maeneo Yao.
Swali 1. Ikiwa umeme ni nyenzo, ni uchumi, ni chanzo...
1. Toka kauli itoke mpaka utendaji kuanza kunaweza kuwa jambo la miezi kama si miaka kwa hapa Tz.
2. Aliyetoa agizo ni mkuu wa serikali lakini huku kwenye ofisi wanasema bado wanasubiri tamko la serikali🙄. Sasa unashindwa kuelewa wanasubiri tamko gani kutoka kwa serikali wakati aliyetoa maagizo...
Makamu wa nani kwanza, kama bosi hatambuliki mjumbe ndo atajulikana kwa nani. Hata wao wanajua sana kuhusu Hilo na ndo maana anakaa ushuani na washua Wala bugger
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.