Recent content by Buyuni Kwetu

  1. Buyuni Kwetu

    nakupa code

    Hakuna mchanganyiko wowote wa vyakula huwa unageuka kuwa sumu.
  2. Buyuni Kwetu

    Kama 87% walipiga kura, Lissu alivurugaje uchaguzi?

    Umekosea ni asilimia 97% siyo 87%
  3. Buyuni Kwetu

    Mya, ana miaka 45 hana mchumba, hana mtoto she is proud of her life

    Kwani watoto ni lazima watoke kwenye tumbo lako? Kuna watoto wengi sana wanahitaji wazazi wa kuwatunza. Unafanya adoption na maisha yanaendelea.
  4. Buyuni Kwetu

    Mya, ana miaka 45 hana mchumba, hana mtoto she is proud of her life

    Ulitaka afanye nini? Kipi cha ajabu? Mbona wapo wengi tu?!!!!
  5. Buyuni Kwetu

    Nimeamua kuvunja haya mahusiano

    Umeniwahi, nilitaka nimwambie classmate kuwa hafanani na nyuzi za namna hii.
  6. Buyuni Kwetu

    Anayefikiria kujiunga na Savanna Fibre kuwa makini sana

    Kabisa!!!! Mimi walinifungia siku hiyo hiyo niliyofanya malipo.
  7. Buyuni Kwetu

    Wewe mwajiriwa wa "9 to 5" unalitambua hili?

    Shuleni ulifundishwa na nani? Hukuwahi kuugua katika maisha yako ukaenda hospitali? Hospitali nani alikuhudumia? Sasa hivi unafanya kazi unapokea mshahara na nina uhakika mshahara wako unaingia kupitia Bank. Hata kama unaweza kuwa unachukua pesa yako kutoka kwenye ATM lakini hata kama utaamua...
  8. Buyuni Kwetu

    Ilhan Omar Mbunge Muislamu wa Congress (USA) mwenye asili ya Somalia mbioni kuwa deported arudi kwao

    Halafu hizi chuki baina ya hizo dini mbili huwa naziona hapa JF tu, mbona huku mitaani tunaishi vizuri tu???
Back
Top Bottom