Recent content by Bungurere

  1. Bungurere

    China Wamerusha ndege inayotumia umeme kwa Mara ya kwanza!!

    Kwani yule mkandasi wa kichina ameshamlipa yule operator aliyemvunjia vitu, vipi kuhusu yule masai
  2. Bungurere

    Hukumu ya Lissu ni kaa la moto

    Wale wazee wa chadema ikungi waliokuwa wanasubili hukumu ya lisu tunataka watwambie msimamo wao
  3. Bungurere

    Serikali ya Tanzania imetetea uhuru wa mahakama kufuatia hukumu ya Tundu lissu

    Hawa ndiyo wale walisema elinino sio mvua ni joto jingi
  4. Bungurere

    HOJA Benki ya CRDB inatuhumiwa kuibia watu hela kwenye akaunti zao. BoT ipo Kimya

    Andikeni barua Kwa waziri wa fedha,gavana wa benki kuu na kama watakaa kimya fanyeni press conference ya vyombo vya habari vya kimataifa
  5. Bungurere

    Prof. Muhongo: Tozo hazijawahi kukuza uchumi

    Kwani mlikuwa mnapambana mbuga za wanyama zipate tuzo za kimataifa ili iweje?
  6. Bungurere

    Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

    Kwani kipindi hii kesi inaanza hukusikia mawkili zaidi ya elfu Moja na pointi wakiwemo maprofesa, madokta wa vyuo vikuu vya ndani na nje wapo nyuma eg. Prof. Safari,Dr nshara, etc Ndiyo maana alisema final submission tu Ina kurasa zaidii ya elfu moja
  7. Bungurere

    Biashara kariakoo kupangwa upya

    Kwani Hilo linahusiana vipi na uchafu
  8. Bungurere

    Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

    Hiki nini Sasa, umeandika hapa
  9. Bungurere

    DC Tarime atoa katazo wananchi kuendeleza maeneo yanayoguswa na mradi ujenzi Bwawa la TSF- North Mara

    Mfupa uliomshinda waziri je DC atauweza ukizingatia mbunge mwenyewe alitoa machozi.
  10. Bungurere

    Waandishi wa Tanzania ovyo. Wanashindwa kumtafuta Nchimbi na kufanya nae mahojiano au Kwenda kwake kujua kama Yupo?

    Acha Uongo huyu jamaa akiitwa kwenye interview haendagi mfano 30.08,2025 alitakiwa kwenye interview na chief odemba hakutokea (unafiki ulizidi)
  11. Bungurere

    Chalamila Ondoa ICD Mjini kama wewe Mwanaume. Acha kuonea Madereva

    Wanasema hizo ni dalili za ugaidi
  12. Bungurere

    Tanzania na Uganda Kujenga Kiwanda Kikubwa Cha Kusafisha Mafuta Cha Trilioni 56 Tanga.

    Tunamkaribisha shemeji yetu mtoto wa ruto Tanzania
  13. Bungurere

    HOJA Deni la Daraja la Kigamboni (Mwalimu Nyerere) litaisha lini?

    Hata hivyo hiyo pesa ndogo Kwa sababu nssf ilikuwa inaingiza billion 120 Kwa mwezi ilifikia muda ilikuwa inaidai serikali trillion 6
Back
Top Bottom