Recent content by Bunguabongo

  1. B

    KUBOTA Power tiller ni mkombozi

    LOCATION MOMBO KOROGWE
  2. B

    KUBOTA Power tiller ni mkombozi

    Ninayo KUBOTA ZT 140 PEM bosi, karibu
  3. B

    KUBOTA Power tiller ni mkombozi

    Nimekuwa nikitumia power tiller kwa muda wa miaka miwili sasa. Nimeona mafanikio makubwa sana kwa sisi vijana na hasa tunaopenda kilimo cha mpunga. Hata hivyo, nimeamua kuiuza baada ya kukosa msimamizi kwa kuwa mimi ni mwajiriwa. Kama kuna mtu anahitaji nipo tayari kumuuzia. Nicheki DM tufanye...
  4. B

    Tuhuma za Rushwa Kamati za Bunge: Zitto ajiuzulu ujumbe wa Kamati ya Huduma za Jamii

    Kabwe, cannot be trusted on his resignation: there are a lot of assumptions on this man.
  5. B

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Slaa is no body, mimi nilitarajia atusaidie wananchi tulio katika kipindi hiki cha kuelekea kupata viongozi wapya, kiongozi mkuu tumpateje? Vigezo vipi tuvitumie katika kumpata, maana kila anayepanda jukwaani tunaambiwa anakashifa. Ametumia mda mwingi kuchambua uchafu wa Lowassa na tumememwelewa...
  6. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo morogoro manispaa mi nije dodoma manispaa idara ya sekondari ni PM
  7. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni MWL wa sekondari niko Manispaa ya Morogoro natafuta MWL wa kubadilishana naye mimi niende Manispaa ya Dodoma. Tafadhali ni PM tupeane mawasiliano
  8. B

    Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    Sikuwahi kufikiria Nd. Kitila Mkumbo anaweza kuja na urojo kama huu akiuita ni uchambuzi wa makini kuhusu sakata lao la kuwafukuza uanachama kwa makosa yaliyowafukuza. Kwanza, naomba ndugu zangu wana JF mnielewe; nimemtaja Nd. badala ya Dr. Kitila kwa sababu, kuanzia sasa nimeanza kukubaliana na...
  9. B

    Mlemavu achangiwa fedha ndani ya basi baada ya kuwatangazia abiria kuwa yeye ni kamanda!!

    Katika hali isiyotarajiwa na iliyowafanya watu wengi kushangaa na kujikuta abiria wote wakianza kubishana kuhusu mambo ya siasa, imetokea leo majira ya saa 7 mchana ndani ya basi la ABOOD lililokuwa limebeba abiria kutoka Moro-Dar. Hali hiyo ilitokea pale ambapo mlemavu mmoja wa miguu aliyekuwa...
  10. B

    Utumishi tena- agost 6, 2013

    1 THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref. Na EA.7/96/01/E/13 06TH AUGUST, 2013 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of the Ardhi Institute Morogoro,Community Development Training Institute (TENGERU), Eastern Africa Statistical Training Centre...
  11. B

    Utumishi tena- agost 6, 2013

    Kazi kazi tena utumishi!!!!!!!!!!! tembelea PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
  12. B

    Ezekiel Wenje atoa elimu ya uraia Bukoba leo

    Amini msiamini naona kila dalili za CHADEMA KUINGIA IKULU 2015. Wananchi tunachokitaka ni kuondoa u-mwinyi na ufalme wa viongozi wa CCM ulokuwa umejengeka maana unakera mno. Kiongozi wa CCM utafikiri yeye ndo amesoma sana kiasi cha kuoneka sisi wananchi ni hovyohovyo tu. Now the end is near...
  13. B

    Kinachotokea bungeni sasa hivi ni u-huni mtupu- ccm jiangalieni wananchi tunawaona.

    Hakika, CCM ina-wabunge ambao hawana sifa ya kuwa wabunge na wala si-wawakilishi wa wananchi. Hivi sasa wanapiga kura za kupitisha bajeti ya serikali lakini cha kushangaza, kwa kuwa wabunge wa CDM hawapo bungeni, kila mbunge wa CDM akitajwa jina kuna viherehere vya kina mama vinaropoka kwa...
  14. B

    Msaada namna ya kuandika PORTFOLIO

    Portfolio siyo ya kuandika isipokuwa ni faili lako lenye mkusanyiko wa shughuli zako ulizokuwa unafanya, kwa mfano wewe kama ni banker lazima utakuwa na faili lako la nyumbani linalokusanya shughuli zako zote za kiofisi na barua zozote ulizowahi pengine kupewa kama promotion au ufanyakazi bora.~...
Back
Top Bottom