Eddy, mimi sijasema yuko kimya kwa kufuata ushauri wa wazee, ila nimesema serikali ilitoa amri ya kusitishwa kwa malumbano mara moja baina ya RA na Mengi.
Mimi hoja yangu ni kwenye ufisadi, Watanzania wengi tuko nyuma ya yeyote yule anayepigania mustakabali mwema wa nchi yetu. Na sidhani kama...