Recent content by Bunchari

  1. Bunchari

    Leo Niko na mke outing anasema siasa za Tanzania niziache ngumu

    Huyo Mrusi ana maduka pale hosteli anaesabu mpaka pipi,hii comment imenikumbusha shuleni
  2. Bunchari

    Nani kafanikiwa kufuta Cheti Ajira portal kupitia njia hii?

    Nipe steps ulizotumia kufanikisha
  3. Bunchari

    Nani kafanikiwa kufuta Cheti Ajira portal kupitia njia hii?

    Nataka kushusha cheti cha bachelor degree niweke driving certificate, inawezekana???
  4. Bunchari

    Je kwanini Tanzania ina madini mengi lakini uchumi wake haukisi uhalisia huo?

    Viongozi na watumishi wa wizara wanajinufaisha peke yao,mtu kushika leseni kila mahali mpaka kero,kana kwamba ni yeye tuuuuuuu ndio anaziona fursa
  5. Bunchari

    Vitu/vifaa gani ulivinunua kwa mihemko na umejikuta huvitumii kabisa?

    HAyo ni mafuta ya ndege,huko mjini watu wananusa ili walewe
  6. Bunchari

    Dudubaya: Polisi msihangaike kunitafuta, nakuja mimi mwenyewe

    You better watch your back! Mambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  7. Bunchari

    Kuacha kazi pasipokutoa notice

    Vipi kuhusu kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutokutoa notice
  8. Bunchari

    Kuacha kazi pasipokutoa notice

    Habari Jamaa aliacha kazi pasipo kutoa taarifa kwa mwajiri baada ya kutopewa mshahara kwa miezi mitatu,ajira haina mkataba ni zile za kupatana pasipo maandishi Alipofatilia akajulishwa anapaswa kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutotoa notice kwa mwajiri. Jamaa anadai alisitisha ajira pasipo...
  9. Bunchari

    Kihongosi: CHADEMA wametoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati, wanaendeshwa na rimoti

    Walizoea kuonga pesa wanasiasa wa upinzani,chedema endeleeni hivyo hivyo
  10. Bunchari

    Kihongosi: CHADEMA wametoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati, wanaendeshwa na rimoti

    Walizoea kuonga pesa wanasiasa wa upinzani,chedema endeleeni hivyo hivyo
Back
Top Bottom