Hapo wanawasoma kwanza,serikali haitoagi mshahara wa bure.Utapewa kazi na hata mda wa kula sometimes utakua unakosa. Huu ni mwisho wa mwaka kumalizia tasks na kufunga report.Subiria tu utakuja kutuhadithia hapa wewe.Utakuja kusema kazini kuna kazi
Love is very compex,nilikua na mwalimu na hela yake nilikua sioni, yule mama alibadilika sana.Kiufupi Maisha hayana formula,Muombe Mungu upate mtu anayekupenda na kukuheshimu.Masuala ya sjui anafanya kazi iwe suplimentary
Wasalaam.Kutokana na Theory na vyanzo mbali mbali vya kidini na kisayansi huthibitisha dunia iliumbwa miaka mingi iliyopita.Je watu waliokufa wakafufuliwa leo idadi yao itazidi walio hai? Naomba wataalamu mnijuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.