Recent content by bullbar

  1. bullbar

    Nimemkosea mpenzi wangu naona hataki kunielewa

    Nipe namba yake dm..
  2. bullbar

    Kuna kitu sijakielewa kwenye ligi ya Italy, goli linapofungwa mpira uchukuliwa na kupakiwa kwenye mfuko hii inamaana gani?

    Inakuja kutumika Tanzania kufungia magoli ya mkono kwenye uchaguzi
  3. bullbar

    PostGE2025 Siwezi sahau kilichotokea siku kama hii mwaka 2025 nikiwa kama msimamizi wa kituo cha kupigia kura pale Makao Makuu CCM Lumumba

    mzee mengine hayasemwi public..jiongezee mkubwa wewe..pengine simba haina doumbia alafu unataka aweke humu
  4. bullbar

    Course ipi nzuri kati ya Urban and Regional planning na Land Evaluation kwa mtu anayefanya kazi Halmashauri?

    Kuna course pale jalalani inaitwa CCM and Public fund relation..
  5. bullbar

    Jumapili ya Leo tunabonda chicken biryani!!!

    Kwa hiyo mwanetu Madale huku umetukatia ili biriani tupikie kuni mbao za site au sio...
  6. bullbar

    Mazao gani ambayo haya haribiwi na ngedele na nyani?

    Kwa muda wako..nitafute nikuelekeze mitego yao abadani hutowaona tena na utawamaliza wote..hiyo changamoto nilikutana nayo pia ndio nikachukua hayo maamuzi yan mpaka navuna ..na ikitokea amepuya basi hizo mbio zake hapo utacheka
  7. bullbar

    KERO Nimeunganishiwa umeme na TANESCO, natakiwa kulipa kodi ya jengo ya miezi ya nyuma ambayo sikuwa nimejenga, hii ni sawa?

    Lipa lodi Dogo Dully anataka kumalizia hoteli zake unguja bwashee...
  8. bullbar

    KERO Walimu ajira mpya Halmashauri ya Mkalama tumelipwa TZS 250,000 badala ya 925,000

    Msijali hela yenu mtapewa kipindi cha kupiga tiki kura feki
Back
Top Bottom