Kizazi cha zamani kimefanya nini cha maana? Hii nchi ni shithole sababu ina msingi mbovu uliojengwa na kizazi cha zamani. If anything, vijana wa sasa wana guts za kuhoji kuliko zamani.
Ni connection gani haikwenda viral?
TISS waliwalazimisha kufanya yao na kujirekodi?
Wewe ukiwa na majanga dunia haisimama. The sun will rise in the morning and set in the evening hata ukifiwa au kufariki.
Conspiracy theorist muwe mnatumia akili badala ya kutafuta sababu za hovyo kwenye kila...
Namjua mtu aliyewahi kufanya kazi kwenye ubalozi wa China na Marekani hapo TZ. Anasema tofauti ni mbingu na ardhi. Kwa China, kazi ni kama mchongo na malipo ni peanuts. Kwa Marekani, nafasi za kazi zinatangazwa online na mtu yeyote mwenye sifa anaweza kuomba.
Kama hata kwenye balozi zao kuna...
Somebody has to do it. Unyonge inabidi ukome.
Nimekutana na watu wengi sana wakidai kudhulumiwa na hao watu na huna cha kufanya. Mtu hujalipwa miezi 6 unaishije huku una familia? Payment delayed; is payment denied.
Two wrongs don't make it right, but somebody gotta do it.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.