Recent content by Bucheli

  1. B

    Ubaguzi wa Ajira Benki ya Posta?

    Ubaguzi upo katika mabenki mengi sasa hivi siyo benki ya poste tu. BOT wanapaswa kuangalia sana kitendo hicho. Baadaye itakuwa na madhara kwa utendaji wa mabenki, fedha za wateja zitadhurika sana.
Back
Top Bottom