Recent content by Brownz

  1. B

    Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

    Mleta mada anamambo hayaaaaa....... Mawili. Aidha anamtindio au anakaribia kufa. Akiwa na mtindio hakuna shida, akiwa anakaribia kufa Kuna mambo hayaaaaa........Mawili. Aidha amechanganyikiwa au Anakufa kweli. Akiwa kachanganyikiwa hakuna shida, ila akiwa anakufa Kuna mambo...
  2. B

    Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

    Mimi sikushauri ila nakusaidia kabisa. Fanya mlete kwangu, ninamshahara wa 150,000 kwa mwezi ataishi vizuri tu. Ova
  3. B

    Rafiki yangu anawaza kuvunja ndoa, lakini nyumba yake alijenga kwenye kiwanja cha wakwe, afanye nini?

    Alipojenga nyumba eneo la ukweni hakua na Akili kabisa. Na Sasa analilia nyumba wakati tayari anawatoto wawili, mwambie bado hana akili tena
  4. B

    Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

    Be a Man, lazima kuna sehemu ulichemka kumtengeneza awe unavyotaka, lakini pia wanawake wengi kwenye ndoa wanahicho kijitabia kiasili kujiamlia mambo bila ruhusa hasa uchumi wanahisi ni jambo lao binafsi. Pili hiyo biashara anayofanya hao jamaa huwa wanaushawishi mkubwa sana, pengine kalishwa...
  5. B

    Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

    Uliwahi sana kuoa kabla hujatahiriwa bila ganzi. Mke sio kama nguo uvue hii uvae Ile simply. Anyway" Marriage is not for everyone."
  6. B

    HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    Kabisa na viboko kama havitoshi waongezee na mamba kabisa, 😂
  7. B

    HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    Popoma tu. Msomi gani hujui dressing code zinazofaa kwenye usaili tena kazi za Utumishi wa Umma?. Shame on you, idiot pro max
  8. B

    Nataka niuache udomo zege nimechoka

    Tafuta Mbwa kwanza uanze kujifunza Dogy style.
  9. B

    Tuelewane waungwana, kuna tofauti gani kati ya hizi style?

    Aina hii ya Vijana wanamchango mdogo katika Taifa
  10. B

    Sasa hivi kuna mstari mwembamba unaotenganisha mke na mchepuko↔️mme na hawala

    Sijui kwa nini unatumia jina la ELI COHEN lakini yule mtu alikua na akili sana.
  11. B

    Je ratiba ya waajiriwa(wanawake) inawapa nafasi ya kutimiza majukumu yao ya ndoa? Je ratiba ipangiliwe vipi ili majukumu ya ndoa yatimizwe?

    Gender equality a.k.a 50/50 imekuja na madhara makubwa sana kwenye ndoa. Ile test ya kusema ninamke inakua haipo, kupikiwa, kufuliwa, kuoga, kupakuliwa msosi, kunyolewa kunako, kupokelewa kwa bashasha na kuvulishwa nguo n.k utavipata kwa form four failure tu, au vidumu pro max.
  12. B

    Wadau hivi Sex Friend anakuwaje sielewi kitu

    And sex is not for everyone.
  13. B

    Shemeji ananitaka

    Tena shemeji mwenyewe wa mchongo tu, sio wa blood
Back
Top Bottom