Habari wana JamiiForums,
Ningependa kufahamu kama humu kuna vijana ambao wamepiga hatua kimaisha lakini wanakutana na changamoto ya kupata circle mpya ya watu wenye mtazamo na lifestyle inayofanana na yao.
Binafsi, bado nina umri mdogo (20’s) lakini nina kipato kizuri kiasi. Changamoto...
Natafuta mtu mwenye official connections ndani ya nchi yoyote ya Schengen anayeweza kunisaidia kupata Residence Permit visa ya mwaka mmoja au zaidi.
Kwa sasa nafanya kazi remote nikiwa Tanzania, hivyo ningependa kupata fursa ya kuishi Ulaya huku nikiendelea na kazi yangu.
Ninatambua kuwa sina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.