Recent content by boris maganga

  1. boris maganga

    Maisha yote ni utumwa, tangu unazaliwa

    Sio utumwa hiyo ndio maana halisi ya maisha, hebu waza Kila mtu awe na pesa, je kazi na utatuzi wa changamoto ndani na nje ya jamii ni nani atazitatua, lazima kusiwepo usawa ili mambo yaende
  2. boris maganga

    Najuta sana

    Mbususu tamu sana
  3. boris maganga

    Ulijifunza nini kupitia penzi lililopita?

    Mkuu una akili sana, hapo kwenye kuwakunja nakupa 100 alafu kwenye huruma kwa hivi viumbe hautakiwi kabisa.. Wa
  4. boris maganga

    Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

    Kwa Sa Mkuu Safi sana unajua sana kuelezea vizuri. Kwa uzoefu wangu huyo anakutengenezea mfumo wa kukunasana ili iwe vigumu wewe kumuacha na badaye utatumika kwa masilahi yake tu.. Mi pia nimenasa kwenye mtego kama huo.
  5. boris maganga

    Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

    Kwangu ishu awe hajatumika, mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanamme na sio mwamamme kwa ajili ya mwanamke ndio maana wakawekewa, seal, mwanamke asiye sealed hata kama aliwahi toa mimba huwez jua kabisa, utaishi na muuaji hadi siku utaaga dunia achilia mbali waliomkatikia
  6. boris maganga

    Mke wangu hatimizi majukumu yake ya nyumbani ipasavyo

    anza kulala nje na tafuta mwanamke mwingine huko nje,pia nguo zako uwe unatoka nazo zikafuliwe huko,ukifanya hivi utakuja na mrejesho mzuri,akishakaa sawa huyo wa nje piga chini kimyakimya
  7. boris maganga

    Nikilala baada ya muda kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwa nguvu na kunibana

    mi nilikuwanikilala gafla nasikia nimebanwa lakini nilivyozid kutafit nikagundua sio ndoto bali ni mtu au kiumbe fulani kwani hata mguu au mkono hausogei,nilipojaribu kufumbua macho niliona kitu cha ajabu ajabu mnyama sio mnyama mtu sio mtu.
Back
Top Bottom