Recent content by boomgate

  1. B

    Kifungo Cha Lissu Kiwe Funzo kwa Vijana Wa CHADEMA na kutambua Hakuna Aliye juu Ya Sheria . Leo Lissu Yupo Gerezani Mwenyewe Na Maisha Yanaendelea.

    Kwa hoja mbovu Kama zako mara nying zinapatikana huko ccm, Kwan nyie watu mnalipwa kiasi gan kufanya cheap propaganda
  2. B

    PostGE2025 CHADEMA hawataki mazungumzo, wana njia gani ya kushinikiza Dola kumuachia Lissu?

    Mandela alikaaa miaka 27 Kwan we unataka wakae mezani ili iweje , si tayariii kahukumiwa acha maisha yaendele
  3. B

    Kauli ya Kihongosi dhidi ya Heche ni uchochezi au ndio siasa zenyewe?

    Huyo jamaa wa ccm ana mambo ya kishamba Sana tundu msimamo wake uko wazi mbona
  4. B

    John Heche: Hakuna majadiliano bila kiongozi wetu kuwa nje

    Ndio maana bado milango iko wazi Kwa wananchi na pia vyama vingine na taasisi kufanya hayo majadiliano ko siyo lazima chadema wawepo
  5. B

    BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA LIONEL MESSI

    Hahahaha kwanza huyu jamaaa sijui amewaza nin ata
  6. B

    Intelijensia ya Polisi: Ni kwa Usalama wa Wananchi au Operesheni za Kisiasa?

    Mambo mengine ukiwaza unaweza umwa kichwa bure
  7. B

    Tundu Lissu, Kufungwa siyo Mwisho wa Mapambano

    Ebu tupe sababu kwanza za lissu kugoma kula alizotoa yeye halafu tuzipime apa ama amemua tu bac agome ?
  8. B

    PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Hahahah Ila walokole bac tu, kwanza at ivo hakuna lolote kwenye hiii nchi nmewahi sikia mmekemea ama kushauri hopefully mnajua hamuwez ko sion positive impact yenu kwenye jamiii zaidi ya makelele tu usiku kwenye makanisa yenu, shuhuda za uongo na utapeli, kila mtu ashinde mechi zake
  9. B

    Lissu akigoma kula na akapata madhara akiwa gerezani kufika oktoba 29, yanaweza kutoka ya mwaka jana

    Lisu ni mtuhumiwa na hata angekuwa ni mfungwa bado ana haki zake Kama Sheria zinavyotaka , na suala la kutokula ni moja ya njia sawa kabisa magerezan watu kudai haki zao achen porojo za kishamba timizeni haki za lisu Kama mahakama inavyotaka
  10. B

    KERO: Wanafunzi wa Masters UDSM zaidi 80 hatarini kukosa mahafali ya December 2026

    Sasa tunakusaidiaje wakati nyie wasomi ndo mnajua Cha kufanya na Kama ni kudai madai yenu mnajua pa kuyapeleka, daaaah hiii nchi bac tu
  11. B

    Ukitaka kujua mtu ni mwehu apewe cheo CCM

    Hilo ni kweli wanakuaga Kama majuha vile sijui kwa nini
  12. B

    Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

    Mna propaganda za kitoto sana
  13. B

    Kama CHADEMA walilipwa ruzuku zote bil. 2.7 na Lissu akalipwa madai yake yote na Mh. Rais Dr. SSH na bado wamehujumu uchumi wetu hivi hawa ni wenzetu?

    Ko unatakaje wewe mkuu Kwan hiyo pesa ni hisani ama ni haki ya mtu pia mahitaji ya Sheria na katiba ya nchi? Kama chama Sheria inasema kipewe ruzuku je kuna shida apo ama unataka iwe ni huruma ya ccm na serikali yake? Ama kwa hisani eti
Back
Top Bottom