habiba habebi,haibi hububu,
wala hatubu kwa uongo kukuhubu,
hana haiba na mpenda misiba,
heri yako wewe ushapata mahaba.
mimi sijawahi kupendwa baba,
kupata habiba mwenye kwangu huba,
nimekulia upweke na huzuni nimeshiba,
tuache hadithi zake mahabuba.
miaka 18, nitafute tuonane...