Recent content by Bongo dar es salaam

  1. B

    Jeff (Ontario), mwanachama hai wa JF kapatwa na nini?

    Ukimtaja huyo jamaa unawakumbusha watu machungu ama kweli kila mbabe ana mbabe wake kuna watu ni Watoto wa mjini na akili mingi lakini dogo aliwabuluza hadi boss wa huu mjengo hana hamu na huyo dogo
  2. B

    Tumekataa kitu tunacho kiita kutunuku ufisadi tunataka vijana jeuri wenye nguvu na mashujaa tuikomboe nchi yetu tutakinikusha

    Yule kamanda wenu amewaingiza chaka vijana kawajaza upepo alafu kawaachia msala inauma sana
  3. B

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sasa mtu asafishe vipi cheti alimaliza miaka karibu 10 imepita hapo uliongea kwa chuki tu na Wala sio Kwa point anyway endelea kupambana check no zinatafutwa na zinapatikana
  4. B

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Punguza uchawi mkuu hao mwenye four wamewapiga chini watu wenye 1 na 2 kwenye interview
  5. B

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sio poa ila saf tu ukishakuwa ofisini Mambo mengi unayajua hata pepa likija unawakanda
  6. B

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Yani sio poa ngoja tusubili tuone hii ngoma
  7. B

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kisanga Babu ila hili sidhani Kama lipo hii unamaanisha kilichofanyika huko nyuma ni kazi bure
  8. B

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hii speech ya katibu mmeisikia wazee ili upande daraja au uthibitishwe kazini lazima ukapige pepa kwanza hapa sjui imekaaje hii
  9. B

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hii ndio bira kuchoka hongera sna mkuu
  10. B

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Dhu nyie mnakisanga kak sie tushapewa chetu mda tu
Back
Top Bottom