Sina nia ya ku-criticise lakini kwa mambo ya mtazamo tu kama Zadock alianza kwa kupiga picha mitaani na sasa amefikia such a high profile level, then ni mtu aggressive katika maisha na anawekeaza hapa hapa nchini badala ya kupeleka nje kama kina Mkapa, Sumaye, Chenge and others. Watu wa kulaumu...
Huyu Mrema aliwekwa na B. Mramba, sasa huyu mramba ambaye ameramba pesa za jasho la watanzania kiufisadi kwanini aiife ti jamani pamoja na mafisadi wengine wote
MAMA mkwe kapenda, kaiomba eti umnyime na kama bado anadai dai kwa sura ya utu uzima, kula kwa sana mpaka achanganyikiwe, maana mpira unachezeka katika kila kiwanja bila shida. tena mpe magoli ya ukakika mpaka awe HOIIIIIIIIIIIIIIIIIII.
...................[/COLOR][/SIZE][/FONT] Waziri Membe anatumia kigezo cha yeye kuwa Mkatoliki kama mtaji wa kisiasa na mbinu hii anaamini ndiyo itakayomnyanyua ili kushinda kiraisi katika uchaguzi ujao ................[FONT=Courier New][SIZE=4][COLOR=Navy]
Watanzania kama wewe ambao bado...
kuna umuhimu sana wa kurudisha JKT ambao ni kujenga utaifa, umoja na utamaduni ambao umeporomoka sana baada ya kufuta JKT.
Kwa wale amboa tumepitia JKT ukiacha ile karinyekarinye ukafanya uchambuzi "objectively" utaona JKT ilitujenga kwa kutufanya tuje kuwa raia wema na kujiona wote ni ndugu...
Jamani MD mpya wa TIB naona anastahili maana qualifications zake na experience vinanipa imani kwamba anafaa, tupige kelele kwa watu kama David Mattaka, au Mustafa Mkullo.
Jamani kweli wa TZ tutaliwa mpaka tone la damu ya mwisho SUMAYE NI MMOJA WA MAFISADI WAKUBWA enzi ya MKAPA, lakini ndo hivyo anatanua kwa kodi yetu ma hela ya UFISADI kafika kwa kuinvest anakojua
nafanya katika nafasi yangu mengi tu, na sina huo uwoga kuliuonao wa kondoo maana kwa tabia hiyo ya kuogapa kuandika eti uta-pm wakati hapa jf tunasema "we dare to talk openly" hivyo kama huwezi kakae jikoni ukapike
HUU NDIYO 'UKONDOO NA OWOGA' badala ya kutuandikia hapo enaeema its too hot. kwa uwoga wako unogoka kuandika je unaweza kuwa na uwezo kusimmama na kueleza baya la mtu, unaopa nini, halafu unajifanya wewe ni mkosoa mabaya katika jamii, hovyo kABISA
yaani wewe nimekuwa HUFAIII KABISA KATIKA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.