Recent content by Bold

  1. Bold

    Niendelee kuficha siri hii au niwaambie hawa mabinti waujue ukweli

    Usipowaacha jiandae kwa matokeo yake pia, matokeo hayako mbali sana ikiwemo mke wako kujua kuwa unamcheat
  2. Bold

    Taarifa za habari mbona kama zimelowa mvua, kulikoni?

    Ccm wanahonga ili taarifa zao zitangazwe
  3. Bold

    Demekrasi wanaongoza katika uchaguzi wa Seneti Trump kaishaanza kulalamika anaibiwa kura

    Huyu trump ndio anasababisha bei ya mafuta kupanda, ashindwe tuu
  4. Bold

    Yanga wamfurusha Kocha Manqoba na kocha wa Viungo

    Shida ya Yanga sio kocha ni wachezaji,msimu huu yanga wamesajili vibaya
  5. Bold

    Mdau: Tusikubali baadhi ya viongozi wa dini kuamsha hisia zetu za Oktoba 29

    Huwezi kuua alafu ulazimishe watu wasahau hiyo kitu haipo
  6. Bold

    Watanzania wafika ubalozi wa Marekani kumshitaki Mange Kimambi

    Mnafikiri wamarekani ni wajinga kama nyie
  7. Bold

    Kutoka Mahakamani: John Pambalu ashtakiwa kwa UHAINI

    Kwahiyo nchi hii maandamano ni uhaini?anayeandamana anataka kuipindua serikali?
Back
Top Bottom