Recent content by Boca1

  1. B

    Mwezi mbaya kwa mastaa Flora na Vick Kamata

    Hivi Flora na Emmanuel nani alaumiwe kwanza? sasa mtu unakimbia nyumbani kwako unapanga hotelini mme atajua unalala na nani. yawezekana hata huyo Imma amekaa mda mwingi hata unyumba hapati then anaachiwa kigori ndani. lakini pengine tujiulize mtu unabakwa mara ya kwanza inanogewa tena siku ya...
  2. B

    Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

    Nimeisikiliza hii post hakuna inapomuweka hatiani Mbasha. kwanza yeye anachokisema au kukitaka hapa ni reconciliation. kuomba msamaha inaweza kuwa kwasababu kulikuwepo na misunderstandings na si kubaka.hakuna sehemu yoyote amesema alibaka so whoever was recording anadhihilisha nini mipango ovu...
  3. B

    CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

    Unajua huyu Mh. amechangia sana maendeleo ya vilabu alivyokuwa anaongoza. e.g . 1. akiwa mwenyekiti wa Tarefa, Mkoa wa Tabora umeendelea kimichezo na kuna team 19 mkoani Tabora. 2. akiwa Katibu mkuu wa FAT mwiaka ile, nusu final za kombe la dunia, 3 sasa hivi ni c/man wa simba sposisisisi...
  4. B

    J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

    Matthew 10:28 .....And do not be afraid of those who kill the body but cannot kill the soul; but rather be afraid of Him who can destroy both soul and body in hell (Jehanam).
  5. B

    Majina ya waliopewa siku 90 na CCM kujiuzulu ni hawa hapa

    They are CCM PARETO if you have ever read Pareto Principle
  6. B

    Ridhwani Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete v/s Saif Al Islam Muammar Gaddafi

    Then tukiishaju similarities au diffrences zao itatusaidiaje sisi tunoishi kwa mlo mmoja?
  7. B

    Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

    Maandamano ya wafuasi wa CHADEMA huko Mwanza yakiongozwa na viongoziwao Dr. Slaa, Mh. Mbowe na wabunge wa chama hicho yawa na amani kubwa pasipo na vurugu. Source- Radio 1
  8. B

    Kapuya, hii kali...! Ipe maneno picha hii

    Na hivyo vidole anavielekaza wapi jamani? Inaonekana Mh. ni mtaalam wa finger...
  9. B

    Ngoma imeanza bungeni

    Mambo yanaendelea
  10. B

    Ngoma imeanza bungeni

    Amefuata Mh. Dr. Maua Daftari. Mh. Diana hajaulizwa swali hata moja
  11. B

    Ngoma imeanza bungeni

    Mh Diana Kilolo anaanza kujinadi mbele ya waheshimia kutaka aingie kwenye tume hiyo ya E.A
  12. B

    Ngoma imeanza bungeni

    Mh. Zitto anaomba muongozo wa upigaji kula kuhusu upigaji kula ya kutafta commission ya Bunge. wanatakiwa angalau 1 awe ni mwanamke. mjadala mzito unaendelea
Back
Top Bottom