Recent content by BobMarley

  1. B

    All my dreams came true when I married a poor man!

    sorry people i do agree with naima,hata huyo ,mbeba mizigo kariakoo sijui kama atakuwa romantic kumwita mke babe
  2. B

    Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    sasa wewe mwenzetu inaonekana ni typical mhaya bado unajisifia msikie mwenzako byase amendika nini hapo chini
  3. B

    How Professional men propose

    naima point hii imenimaliza hahahahahah
  4. B

    Nimetembea na ‘house Girl’ wangu na sasa ana mimba

    kutembea na house girl baba we mroho sas mkeo sijui utamwambia nini.mimi sina ushauri. ushauri nitatoa kwa wenye kusoma hii habari {its not worth it}kumshushia mkeo heshima jamani
  5. B

    Ridhwani afunga ndoa!

    bwana we huyo ridhwani aowe mmakonde mzaramu hata kilema atajiju mwenyewe si wala hayatuhusu.sisi tudiscuss mambo ya maana
  6. B

    I will never date a lady through the internet

    DR pole sana sasa hivi matapeli ni kila kona internet siyo internet wapo.unaweza ukakutana na mtu thru a friend still akakufanyia hivyo hivyo.sasa hivi nikuomba tu mtu unayekutana naye
  7. B

    Kueleza hisia zako

    NAIMA mimi nakubaliana na wewe.mimi nitasema kitu kimoja mimi naona waafrika tupo nyuma kidogo kwenye maswala ya mapenzi.sisemi kwamba ni wote.wanawake wanapenda wanaume romantic labda yupo jikoni anapika baba ingia jikoni sema darling are you alright halafu mpige busu halafu mwache akiendelea...
  8. B

    Natafuta Mme !

    jamani siku hizi watu wanakutana kwa njia zote.mimi naona kama waafrica wengi wakisikia mtu anatafuta mme au mke kwenye internet wanaona eeee huyu sas yupo desperate.mtu akisema anatafuta partner siyo kama tunaowana kesho yake.tutapata kujuana.hii ni njia rahisi ya kukutana na watu siku hizi
  9. B

    Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    MTIMTImimi ninaagree na wewe kabisa
  10. B

    Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    VICA sasa ukisema wahaya kama wamarekani du nashindwa kukuelewa
  11. B

    Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    SON OF ALASKA kama unaheshimu wakina dada na wewe ni mhaya basi endelea kujitahidi maana dunia ya sasa mambo yanabadlika na kama upo kwenye relationship jitahidi kucompromise na utafika mbali na partner wako.wakina dada wa siku hizi hawapendi kuwa controlled badala ya kujigamba wewe ongea naye...
  12. B

    Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    mdogo wangu kaolewa na mhaya na nilisahau kumention hii.walikuwa hawaelewni yeye na mme wake mimi pia nilikuwa simpendi shemeji yangu kila kitu dada yangu akifanya yeye anadharau mpaka wakaachana.shemeji yangu alikuwa hawezi kucompromise na mkewe.mimi naona wahaya mcool down kidogo tu coz there...
  13. B

    Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    navyosikia wahaya hawajui kuongea na wanawake wao vizuri maana hawana respect. wana tabia ya kujisikia tu na kuwadharau watu kutoka makabila mengine.wakina kaka mkiwa kwenye relationship usifanye kama wewe ndiyo bosi maana wakina dada wa makabila mengine hawajazoea hizo tabia.mimi naona wahaya...
Back
Top Bottom