Hapo kuna mambo ulitakiwa kufanya kabla ya kuondoka chuo kama vile kupostpone kutokana na kukosa ada. Sasa hapo maelezo yako bado hayajakamilika uliondoka chuo mwaka gani. Kama ni mwaka jana na ujatoa taarifa yeyote ynaweza ukawa uli disco moja kwa moja .
Lakn nenda chuo kaonge nao kwanza na...
Cha msingi hapo nenda heslb kabisa ,fanya na appeal kama una supportive document kama cheti cha kifo , tasafu, sponsorship kwenye elimu yako nenda nacho na pia attach huko .
Pia kama huna vyote omba hata barua ya mwenyekiti wa mtaa wenu
Kwani kwa dunia ya sasa lazima mtu akae chini kwa saa 1 au zaidi kutazama taarifa ya habari
Wakati kuna digital platform ambozo zinakupa habari hapo kwa hapo siyo mpaka saa 2 uck.
Duniaxsasa imebadilika zamani tukio linatokea asubuhi wew mpk saa 2 uangalie.
Leta sababu wew umeona consistency ya arteta . Kwenye ligi amekuwa 2 3 in rows mpk tunakuja kuwa mabingwa
Kelele zilikuwa ni aina ya wachezaji walio kuwa wanaanza mfano kwenye vikombe kama FA , carabao
D ya nn? Lakn bado ningumu sana kupata hivyo vyuo jaribu kampala .lakn pia ada yake ni kubwa sana.
1. Kama nyumbani kwenu hampo vizuri utakuwa unaiweka familia kwenye madeni iliwewe usome .
2. Mm nina rafiki zangu walimaloza mwaka juzi 1 alikuwa na CCC na 2 alikuwa na CDB (chem, phy, bios)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.