Recent content by BOB LUSE

  1. BOB LUSE

    Shule zimefungwa, hela zimetengwa na kutumika kwaajiri ya Elnino! Elnino Mungu kaizuia! Hizi tahadhali!

    Wakati mwingine ukishindwa jambo sio Vizuri ulazimishe hata kama Mazingira hayaruhusu! Watoto wapo majumbani, elnino haipo! Kwanini wasiendelee kusoma kwakuwa walichotarajia kitatokea tishio lake halipo. Kwanini wasitumie vyombo vilevile kueleza uhalisia huo. Mzazi kalipa ada mpaka hela ya...
  2. BOB LUSE

    Mbao zimeadimika, gharama za ujenzi zimeongezeka, kuna zuio la ukataji miti!

    Nchi ni yetu sote,ile kuwa kiongozi haikufanyi uwe kiumbe tofauti na wengine! Mahitaji yetu wote ni yaleyale,( kula,kuvaa na kulala) Mbao zimeadimika na bei zipo juu kwa watu wachache walionazo! Kuna Taarifa kuwa kuna zuio la ukataji wa Misitu! Mtu mmoja anaamka asubuhi anatoa Amri inayobadili...
  3. BOB LUSE

    Penzi la Ulaghai!

    Kweli kabisa,ilikuwa hatari zaidi ya Danger ,Shughuli unaanza kuisikia toka Sinza Palestina,Madukani,Mugabe.......Walitisha hao watu enzi zao! Ya kale Dhahabu,hakuna jipya chini ya Jua
  4. BOB LUSE

    Penzi la Ulaghai!

    Sio kila mtu anayesema anakupenda,ana maanisha! Leo nimekumbuka Wimbo wa vijana wa Zamani," Penzi la Ulaghai" raia wa Sinza, Hotel 92,Watu Njatanjata, Eddie Shaggy na nduguze! Salvador father Kidevu! Hatari sana. Hawa Matapeli wapo mpaka leo,anakula hela yako,anapotelea gizani
  5. BOB LUSE

    Dkt. Veronica: Siogopi kutekwa nilifukuzwa kazi kwa kumtibu Tundu Lissu

    Wee ni Nyang'au jinai haifi! Nani mpya hapo? Samia alikuwepo,CCM ileile! Kuna wakati wa kuongea na wakati wa kunyamaza! Shida nini mtu akiongea,kama amekosea nenda mahakamani
  6. BOB LUSE

    Tuna Miti kila Mkoa! Kwanini Wateja wa TANESCO wakose nguzo na kutakiwa kusubiri siku 60?!

    Nimelipia nguzo ili niwekewe Mita,mita pia nimelipa, nimekwamishwa na nguzo hakuna! Mita zinazalishwa na kuagizwa toka nje,zipo za kutosha,shida nguzo,naambiwa Material hakuna,nina muda wa kusubiri mpaka siku Sitini! Kama TANESCO hamna ufanisi katika kujua mahitaji yenu kwanini...
  7. BOB LUSE

    Sikujua kama God bless Lema ni Mpuuzi wa kupuuzwa kiasi hiki!

    Wakati mwingine ni Busara kunyamaza kuliko kuongea Upuuzi! Nimemsikia akisema ameenda kwa balozi za donars community kuomba waache kufadhaisha nchi yetu na Vikwazo! Anaacha kuwaendea walio chanzo cha hali tuliyomo,walio sababisha tufike hapa,unahangaika na Watu wanaotimiza majukumu...
  8. BOB LUSE

    Ukikimbia nchi tajiri kwa ajili ya sababu yoyote. Tulia usihangaike na maswala ya nchi uliyoiacha

    Ukikimbia nchi kwa ajili ya kuokoa Maisha yako,kuepuka ukandamizaji wa Haki, Utawala Mbaya, Umaskini Ulikokimbilia ambako umekuona ni bora,tulia, fanya mambo ya kunufaisha maisha yako na familia yako huko! Usihangaike na nchi uliyoikimbia Ukiwa nje unakosa Locus na Moral authority ya...
  9. BOB LUSE

    Ukikataa kufika bei kwa Watawala kifuatacho ni kukomolewa na kesi za Uhaini!

    Zamani ukisikia kesi za Uhaini, akina McGhee,Hans Pope, Tamim Ali,Uncle Thom. Na Wakili Maarufu Murtaza Lakha,unasisimuka kutaka kujua hawa watu Walijiamini na kujipanga vipi kumuondoa Mchonga Meno! Lakini kwa Sasa ukiwa na Msimamo Mkali,usipoyumbishwa na usipokuwa na Price Tag! Una...
  10. BOB LUSE

    Tumekwama Morogoro na Basi la ABC Upper class! Tunaziba Pancha!

    Walikuwa hawajawazoea Wateja,wanatukosea nidhamu,taili za nyuma zimeisha sio za safari ndefu
  11. BOB LUSE

    Tumekwama Morogoro na Basi la ABC Upper class! Tunaziba Pancha!

    Latra hapa Wameshapata habari,hapa ni zaidi ya Simu
  12. BOB LUSE

    Tumekwama Morogoro na Basi la ABC Upper class! Tunaziba Pancha!

    Show off nyingi,poor service! Unahela lakini unashindwa kuendesha Biashara in professional way.!
  13. BOB LUSE

    Tumekwama Morogoro na Basi la ABC Upper class! Tunaziba Pancha!

    Customer care sio nzuri! Kupata sehemu ya kuweka kiraka taili,tumezungushwa! Tungekuwa Doma muda huu,tunatizamana tu hapa
  14. BOB LUSE

    Tumekwama Morogoro na Basi la ABC Upper class! Tunaziba Pancha!

    Halafu hawana apology,wanadanganya abiria kuwa tunajaza upepo! Kumbe taili lililochoka linawekwa kiraka kwa ndani baada ya kutoa kwenye rimu! Shame on these investors! Askari wakague spea taili kwenye Magari haya na taili zilizochoka
Back
Top Bottom