Recent content by Boargene

  1. Boargene

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta nyimbo flani nliwahi kuiskia kwenye radio mwaka jana :(chorus) "Mimi sijali hata wakiongea Mimi sijali maneno yao."
  2. Boargene

    Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

    Hizi blocks wanatumis sana hata wazungu
  3. Boargene

    Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

    Kwa bomba za umeme si inashushwa moja kwa moja kwenye outlet kupitia hizo hollow gaps ila kwa maji labda plaster iwe pana kidogo kwaajili ya kuyafunika
  4. Boargene

    Kirefu cha FFU

    Field force unit. Yani hawa wakifika eneo husika ni nguvu tu zinatumika na sio akili
  5. Boargene

    Dawa ya mafua ya kuku

    Nafahamu kuna bird flu (coryza), pia kusinzia bird cold tumia antibiotics kama tetracycline, amoxicillin kwenye maji kagua mazingira wanayolala kuku wako yasiwe na unyevu(high humidity) watapona baada ya mwezi hivi au zaidi kama ni vifaranga wanaweza hata kufa kama hawatokula vizuri. Kwa...
  6. Boargene

    Yanayoendelea Ukraine ni zaidi ya ilivyokuwa Rwanda 1994

    BBC unalishwa sumu kamanda. Tafuta china global news au rt lasivyo komaa na Twitter kuna madini mengi tu
  7. Boargene

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Alihusika kuwazuia raia wa mauripol wasiodoke huko kwa kuwapiga risasi
  8. Boargene

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kamanda wa Ukraine azov batalion huko mauripol
  9. Boargene

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hawa ni azov batalion wamejisalimisha huko maripol
  10. Boargene

    Kati ya Kikwete na Magufuli ni Kiongozi yupi aliyetumia mamlaka yake vibaya zaidi?

    Hapa umeongea aise bado kuna ule mgomo wa madaktari watu waliuwawa sana, mgomo wa wanafunzi ifm watu walilawitiwa kipindi cha jk na mengine mengi tuu tumesahau
  11. Boargene

    Jinsi tulivyompoteza dada yetu kwa UKIMWI

    Dada yako amepitia kipindi kigumu sana. Pole mkuu Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
  12. Boargene

    Wanandoa wanawezaje kuishi pamoja kwa muda mrefu?

    Bro nmekuelewa. Ila yawezekana ukimpata mtu sahihi mambo yakawa fresh Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom