Recent content by BN-prodactioN

  1. BN-prodactioN

    Kataa umaskini, umaskini sio sifa

    Wewe una dollar ngapi kibindoni mkuu mpaka sasa?
  2. BN-prodactioN

    Yanga wamfurusha Kocha Manqoba na kocha wa Viungo

    Hao ni ungaunga mwana tu hakuna timu hapo mkuu hata angefundisha molinyo
  3. BN-prodactioN

    Je MUNGU hakujua kama Adam atakula tunda?

    MUNGU Hana asichokijua, BIBLIA inatuambia anatangaza mwisho tangu MWANZO
  4. BN-prodactioN

    Yanga wamfurusha Kocha Manqoba na kocha wa Viungo

    Watatafuta mchawi nani msimu huu na hawatampata, walizoea kubebwa
  5. BN-prodactioN

    Je MUNGU hakujua kama Adam atakula tunda?

    Mwanadamu alikosa utii, Mungu aliamini alichomwagiza
  6. BN-prodactioN

    Mohamed alipenda kujitofautisha tu kukataa kifo cha Yesu

    Hata ukiletewa ushahidi kwa jinsi ulivo utapinga tu pia, huu siyo wakati wakubishana eti sijui YESU alifufuka au alikufa siku ipi, AMINI kilichoandikwa
  7. BN-prodactioN

    Mohamed alipenda kujitofautisha tu kukataa kifo cha Yesu

    Lengo lako hasa nini kupingana na kilichoandikwa kwenye biblia?
  8. BN-prodactioN

    Mohamed alipenda kujitofautisha tu kukataa kifo cha Yesu

    YESU ni MUNGU, Alikufa, Akazikwa, siku ya tatu Akafufuka, Ameketi mkono wa kuume wa MUNGU baba huko mbinguni alishinda kifo na mauti
Back
Top Bottom