Recent content by bm911

  1. bm911

    Mtu anapataje faida kwa kufuga mbuzi au kuku wa kienyeji?

    Hao mbuzi 50. Baada ya mwaka hawazaliani kwani ,kafanye research upya
  2. bm911

    Kwanini Wakatoliki wanapinga njia zote za uzazi wa mpango wakitaka njia ya kalenda tu itumike ?

    Ulikuwa ni uwoga kama watu wanavyo ogopa AI sasa hivi lkn watazoe na watazitumia badae mana kwenye bible hawakuzungumzia njia wa mpango kbs hizo ni sheria za kanisa baada ya maendeleo ya tec
  3. bm911

    Tumsikilize kidogo Mzalendo huyu

    wanasiasa gani hawa wanaojennga taifa letu?
  4. bm911

    Kutana na Single Mama anayejipost mtandaoni mtupu akiwa na mtoto wake wa kiume

    hamna kitu huyo jamaa aliumuachu huyo mwanamke kwa sababu hana akili tu angekuwa anajitambua asinge achwa kirahisi
  5. bm911

    Kutana na Single Mama anayejipost mtandaoni mtupu akiwa na mtoto wake wa kiume

    kukosa mwanaume ndo kumfanye amuonyeshe mwanae utupu ?
  6. bm911

    Kutana na Single Mama anayejipost mtandaoni mtupu akiwa na mtoto wake wa kiume

    Aliyemkumbia huyo mwanamke aliona hana akili ww unataka ukamuoe?
  7. bm911

    Uwekezaji wa watanzania

    Tuambie tuwekeze wapi Expensive life
Back
Top Bottom