Hawa mbwa wapo kila kona ya nchi kila na Africa kwa ujumla mi naona kuna mtu mnene ambae anawafanya wanakua huru kuja bongo sio bure yaani kwanza wanyanyasaji wezi halafu wengi hawana vibali Mufindi huku wamefurika serikali iangalie kuna lengo baya hawa mbwa wanataka kufanya Africa nzima.
Wapige promo wakati kuna vigigo wamewekeza kweny gesi huku unadhani wanapenda sasa yaan kuna mmoja anapenda akamate wotee weka ndani zibaki gesi na vile wanapandisha bei ya gesi utadhani inatoka Irani.
Hili limetokana na mwiingiliano wa watu wa mataifa mengine na pia chanzo kingine ni maendeleo ya sayansi na tech, kwahiyo sio kwamba mtu alipitia kipindi fulani hapana tunaiga san utamaduni wa nje. Zaman tulivaa suluali bwanga ikaja modo tena bwanga wamama nao walivaa kiheshima mara visket...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.