Hivi kuna mpango gani wa kubinafsisha hili shirika? Maana kwa maoni yangu leo 2026 natamani kila nyumba iliyojengwa kwenye ardhi ya Tanzania ilipaswa iwe na umeme haijalishi ni mjini au ni vijijini, lakini hii imekuwa ndoto, suala la umeme bado limekuwa kama anasa na limebaki kwa matajiri tu...
Unatafuta sifa za kijinga, hapa Tanzania ni wapi hakuna umaskini? Jitahidi ufanye utafiti kwanza usije na habari za kukariri, kama unajua Tanzania vizuri utashangaa sana kila kona ya Taifa hili kuna umaskini wa kutisha. Je kuna sehemu hapa Tanzania watu waliowengi wanaishi maisha duni ya...
Hadi leo hakuna utafiti umekuja na majibu sahihi juu ya ni wapi senene hutokea pindi msimu wake ukianza na ni wapi senene huishia pindi msimu wake ikiisha. . Hongera sana mwamba umekuja na wazo kali sana.. Lakini sina uhakika km linatekelezeka maana najua hata wewe mwenyewe huwezi na km vip...
Umeendika ukweli mtupu! Lakini Kutokana na manyanyaso ambayo vyombo vya ulinzi na usalama vimekuwa vikiyafanya kwa Watanzania kwa muda mrefu Watanzania sasa wanamakovu na majeraha makubwa sana, hivyo hata polisi akiwa kwenye haki bado Watanzania wataona askari huyo ni mkorofi tu. Kwa bahati...
Kupotea kwa POLEPOLE kunaniumiza kwani yeye ni binadamu kama mimi anayo haki ya kuishi kwa uhuru kama wengine, lakini kwa upande mwingine wa shilingi naamini linapaswa kuwa somo... Kipindi cha Magufuli POLEPOLE alikuwa kama Maliyamungu wa Uganda kipindi cha Idd Amin, yaani nikikumbuka nasema...
Acha uongo
JPM ndiye mwenyewe alipenda sana mambo haya.... Kuna siku alikuwa Anazindua miradi akajisemea eti.... Hivi siku sipo hii miradi nani ataiendeleza?.... Magufuli ndiye rais wa kwanza kutengeneza hali ya kuabudiwa, Magufuli ndiye muasisi wa kuhitaji kuongezewa muda! Magufuli ndiye...
Acha uongo
JPM ndiye mwenyewe alipenda sana mambo haya.... Kuna siku alikuwa Anazindua miradi akajisemea eti.... Hivi siku sipo hii miradi nani ataiendeleza?.... Magufuli ndiye rais wa kwanza kutengeneza hali ya kuabudiwa, Magufuli ndiye muasisi wa kuhitaji kuongezewa muda! Magufuli ndiye...
Magufuli aliwahi kutengeneza wajinga fulani akina Juma Nkamia wakaanza kujipendekeza kupeleka hoja hizo bungeni.... Na kwa taarifa bunge lilikuwa linaenda kubariki upuuzi huo.... Lakini kumbe Mungu akaingilia kati..... sasa kuna wajinga wameshaanza kufanya mambo haya kwa Mama Samia... Huyu mama...
Mkuu kuna jambo hujaliweka sawa, kama huyo jamaa mambo haya anayafanya kweli na anaumiza watu, Usitegemee waliomtaja hadharani kama watadhurika kwa lolote kamwe hakuna kitu kama hicho, lakini kama wanamsingizia basi yatawarudia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.