Recent content by BJB FC

  1. BJB FC

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wazee wa imagine being us
  2. BJB FC

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mkuu Jana pia mlikuwa uwanjani.
  3. BJB FC

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Gaffer regarding the Timber / Isak penalty “I have a massive library of clips of pulls and tugs of other teams too, we can get into that” Receipt za kutosha
  4. BJB FC

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mshikamano Mshikamano Mshikamano Tumpe sapoti mwalimu Carrick. Ni mapito tuu haya Soon tunarudi kwenye ubora wetu
  5. BJB FC

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Leo, tar 29/08/2026. Around saa 13:15 (saa Saba na robo mchana ) David Ornstein kupitia TNT Sports YouTuber allimuuliza Kuna chance ya asilimia ngapi Alvarez kwenda Arsenal? ORNSTEIN: “At the time of reporting, it’s a low chance that he will come to Arsenal, because he’s had his heart set on...
  6. BJB FC

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Leo nimekutana na shabiki la Manchester likiongea kwa uchungu sana kuhusu hizi tetese za Arsenal na Vini. Limeapia kwa kulamba mchanga kwamba hatuna ubavu wa kumtoa Vini pale Bernabeu. Hizi habari aisee zinawatesa sana washkaji...
  7. BJB FC

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kubadilisha fikra za watu ni ngumu aiseeee. Imagine huyu mu-Arsrenali Bado 2026 ana mawazo kama tupo 2010s. Nyumbuz je itakuwaje. Kroenke Interview baada ya kubeba EPL: "We're not focused on the price tag—we're focused on quality." "If we're not strengthening, we're stagnating or standing...
  8. BJB FC

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Vini UCL 2 La Liga 3 Tuonyeshe msimu ambao tabia za Vin unazosema zilichangia Madrid kukosa mafanikio kwenye NYAKATI CRUCIAL kama unavyodai
  9. BJB FC

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Morgan Rogers
  10. BJB FC

    Car4Sale Raum ya kujikinga na jua iko sokoni

    Daaah!!! Cold [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
  11. BJB FC

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Asante kwa taarifa
  12. BJB FC

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ni kama vile unawaambia wadau "Mimi (Lembu) ndio nimeajiriwa na Chelsea kwa sababu ni bonge la SD, najua sana kandanda na uskauti wa wachezaji" Huku ukiweka emoji ya [emoji23][emoji23][emoji23] kuonyesha wewe ndo Football na Football ndo wewe. Wewe ndo Chelsea na Chelsea ni wewe.
  13. BJB FC

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    And they know It.
  14. BJB FC

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Good Morning Champs
  15. BJB FC

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Vitu roho inapenda
Back
Top Bottom