Je,ukweli kua alifukuzwa kazi kwa sababu hiyo? Yaani Daktari kabisa afukuzwe kazi kizembe kua kisa alimtibu Lissu? Kwani yeye pekee ndiye alimtibu Lissu? Mbona wakati anafukuzwa kazi akuwai kusema mpaka leo kwenye msiba...Let us be honest...
Mazungumzo ya nini? Yaani mnataka watu wavunje sheria alafu mahakama isitimize wajibu wake .Basi wafungwa wote waongee na Mh.Rais ili watolewe gerezani
Katiba ya Tanzania inasema SISI WANANCHI/WE THE PEOPLE OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA. Je,kuna saini ya kila mtanzania kwenye hiyo katiba? Mtafute sana Elimu usimuache aende zake.
Acha kutisha watu HAVANA...Vipi kile kikao cha wakuu wa vyombo vya usalama usiku wa manane kua na IGP alikuwepo ? Wewe jamaa bhana.. au walitumia hologram? CHEI
Kwamba Nabii anataka watu wavuruge amani,wauane,wafanye uhasi nk. Mh.Lissu pamoja na mazuri yake lakini zile kauli alizotoa azikua sawa ndugu najua unajua ila unataka tu kuficha ukweli.
Wewe inabidi unyanganywe kabisa lesini ya kua mwanasheria. Hivi ukihamasisha watu wafanye vurugu, ukatoa hamasa kwa jeshi na kauli za kuchochea vurugu na chuki dhidi ya mamlaka unakua umetenda kosa la uhaini moja kwamoja au uchochezi tu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.