Recent content by binti mwambeso

  1. binti mwambeso

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Mabinti na mashangazi wenzangu OGOPA MATAPELI,anaekupenda ni mmoja tu aliekuweka ndani ao wanaojileta baadae nimaajent wa kuua maisha yako na watoto wako kwakisingizio Cha mapenzi. Baada ya yooote awezi kuoa single mother.
  2. binti mwambeso

    Daktari wa Saikolojia Radio One: Mwanamke akisaliti anakosa Amani na Anajishtukia ndani ya Siku 92

    Hivi uyo dr.na wewe mpendwa unawafahamu vizuri wanawake??nyie!!Omba Mungu akupe mke mwenyehofu yaMungu na huruma kwamume la sivyo atachepuka apoapo kitandani kwako nawala hutoona dalili.Labda angefafanua na umri wauyo mwanamke.Yani 28yrs nakuendelea ajistukie?
  3. binti mwambeso

    Daktari wa Saikolojia Radio One: Mwanamke akisaliti anakosa Amani na Anajishtukia ndani ya Siku 92

    Heee!kumbe nilichoandika niutetezi?kama unafikilia apa najitetea basi endelea kutupilia mbali uteteziwangu uku ukingoja kuona dalili alizosema Dr.Na uwaonege wawenzio makahaba wanapoanza kujiongelesha kwawaume zao.
  4. binti mwambeso

    Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

    Maskini Mbeya?kwamba hamna chakula?kupika hatujui chukuchuku kwamba mafuta hamna??karanga,mawese,ufuta na alizeti zoote izi!unataka kusema wazaramo ndo wanatuzidi kupika!?ahahahaaa ilawatu mnachuki binafsi
  5. binti mwambeso

    Daktari wa Saikolojia Radio One: Mwanamke akisaliti anakosa Amani na Anajishtukia ndani ya Siku 92

    Alikosa chakuongea,labda angesema dharau zinazidi apo sawa,coz mwanamke hawezi kubalance shobo za upendo apo lazma kunammoja atamuweka moyoni mwingine atawekwa miguuni,ukute wamoyoni ndo hawala sasa!apo mume akiongea chochote anaonekana kama katuni tu,akitaka hakiyake yamsingi mpka apigane coz...
  6. binti mwambeso

    Daktari wa Saikolojia Radio One: Mwanamke akisaliti anakosa Amani na Anajishtukia ndani ya Siku 92

    Iyo ni uongo!labda utafiti kafanya kwamkewe Tena uyomke nimsabato Hatujui wanawake uyo,mwanamke anajichekesha anapohisi au kuona pesa tu,iwe mume au hawara nipesa tu ndo inatutoa akili nakuanza kuongea mambo yakitoto tofauti na apo bigNO
  7. binti mwambeso

    Tatizo la umeme Vingunguti Dar es Salaam, leo siku ya tatu umeme hakuna

    Home boy kabisaa,kwaJaile,Kweka,kiki,kayumbo nayulemzee trafic
  8. binti mwambeso

    Mambo ya kuzingatia ukifikia nyumbani kwa mtu

    Tukuyu,Yani sie hatuwachoki wageni Wala atuonagi kama wanakero. Mtu kaja hakai milele kwako mwache atambe akichoka ataondoka,Mungu katuumba namioyo miwili watu waTukuyu tunaishi ata nawalioshindikana nawala atujali
  9. binti mwambeso

    Mambo ya kuzingatia ukifikia nyumbani kwa mtu

    Kumbe wakigomaaa!apo sawa. Ila watu wa Mbeya hii sio kwaajili yetu.Maana sie hatumchoki mgeni.
  10. binti mwambeso

    Picha/Video: Madhara ya mvua iliyonyesha Dar es Salaam leo Machi 19

    Jamanii!Mungu awakumbe uko Nina bro wangu anaishi Moshi anasema mwaka wa pilihuu mvua hazieleweki
Back
Top Bottom