Inawezekana mzushi huyo, internet date kaishupalia tena na kumwamini mtu ambaye yupo mbali kabisa.
usirudie tena ila kama hujakoma try again.
Kiingereza chako ni cha ajabu sana..
Jamani huyu mzee simwombei mabaya ila bora tu apumzike milele.
Hana cha kuongea sasa zaidi ya kuleta vurugu za maneno na hiyo CCM kama vile ni yake.
Inawezekana pia akili zimeanza kumruka maana uzee mwingine unamjia mtu vibaya.
Jaribu kufika Mirembe hapo dodoma mara moja maana mkoa huo...
Wakuu!
Inawazekana huyo binti yupo serious au la ila hajaelezea vizuri hilo tangazo lake la kutafuta mume. kama kweli hiyo ni age yake basi anaona atafika miaka 30 hajaolewa kwahiyo anakuwa desperate.
kuna gazeti la mwananchi kwenye website yao unaweza kutafuta rafiki na wachumba nadhani...
Uamuzi wa maana sana.
Ni vuziri unapofanya kitu ujiulize kwa nini utafanya na kitakusaidia nini.
Angella alitakiwa kusoma na kuelewa mkataba wa hayo mashindano ya umiss.
Big up kamati chini ya Lundenga.
habari wana JF, I am a new member by the way.
Nimevutiwa na maoni mbalimbali mtoayo na ku-discuss.
My favourite classics:
Songs
Earth Angel- The Penguin
My girl- The Temptations
I'll be dreaming of you- Selena.
Movies:
Temptations
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.