Recent content by Bhega

  1. B

    Hivi ni sifa kwa mwanaume kutembea na wanawake wengi?

    Ni kweli kila mada inajukwaa lake .....
  2. B

    Hivi ni sifa kwa mwanaume kutembea na wanawake wengi?

    Hahahahahaha mie nacheka tu
  3. B

    Hivi ni sifa kwa mwanaume kutembea na wanawake wengi?

    Mwambie maana cjui mada za kujenga Ni zip
  4. B

    Msaada jinsi ya kutumia Whatsapp katika laptop

    Hiyo bluestack nimeinstall ila nikitaka fungua laptop inazima then inaji restart
  5. B

    Msaada jinsi ya kutumia Whatsapp katika laptop

    Mm mwenyewe inanisumbua sana ku install
  6. B

    Wabongo Hatuna hata Ndege nzuri wanatushinda hata Wa Ethiopia jamani? Aibu kubwa

    Hahaha kwa sera yake hapa kazi tu ndio inakupa matumaini
  7. B

    Wabongo Hatuna hata Ndege nzuri wanatushinda hata Wa Ethiopia jamani? Aibu kubwa

    Inabidi tujifunze kwa hilo cyo kununua vitu vibovu miss mchache vinapotea
  8. B

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Jamani ingawa tunashangilia ushindi mim simu yangu inanisumbua kwenye net kwahiyo naomba msaada wa kuflash simu kwa kutumia namba na samsung c3010
  9. B

    Unlock modem yako hapa

    Naomba msaada wa kufungua smu yangu imejiloki kwenye radio aina ya sim ni samsung s3010c
  10. B

    Mbunge wa Arusha Mjini (Godbless Lema) njiani kuelekea Igunga

    <br /> <br / amani itaendelea kuwepo mkuu ila kauli zako hazina mantiki.....hadi kieleweke
  11. B

    Shoga (Abdul) aiomba serikali iwakumbuke kwenye mchakato wa katiba

    <br /> <br / kuna shoga mmoja hapa SHY TOWN yeye kaz yake ni kubadilisha mavaz tu hana kaz nyingine.
  12. B

    Mwanza ni ya kwanza kwa usafi lakini.....

    Nilikuwa napita mitaa ya Ghana yani watu wengi wanaoishi pale mabaki ya vyakula wanatupa barabarani sijui kwa vile mitaa mingi ya Ghana ni vichochoro ,nashidwa hata kutambua ni kwanini inapata nafasi ya kwanza kwa usafi.......naomba munipe muchango wenu kuhusu hili.
  13. B

    Mwanamke wa kuoa

    labda akajaribu mtaani kwetu maana kuna mabinti wanaoniganda kila kukicha na mim sina time
  14. B

    Picha za Wanataarabu wa 5 Stars waliokufa Morogoro!

    2ko Duniani kupita. 2namuomba Mungu muumba wa mbingu na nchi azilaze roho za marehemu pema peponi .Ameeeni.
Back
Top Bottom