Recent content by bhachu

  1. bhachu

    Mke wangu anashindia kanga moko muda wote

    Wewe utakua HANITHI sio bure
  2. bhachu

    Wasouth Africa wameamua kumrudisha Kaburu kwenye uchaguzi

    Daah chama la wana EFF naona linahemea mipira daaah
  3. bhachu

    Alphanga: TEC msitumie Mwamvuli wa dini kuipaka matope Serikali

    😃😃😃😃😃😃
  4. bhachu

    Serikali inahamasisha zinaa na kuharibu familia. Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kupewa urithi

    Naongelea kurithi mali za Baba au Mama yako, sio urithi wa kibaolojia, Serikali inaongelea urithi wa mali/Elimu , na sio urithi wa kibaolojia.
  5. bhachu

    Serikali inahamasisha zinaa na kuharibu familia. Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kupewa urithi

    Urefu au Ufupi hauzuii mtu kurithi, mimi naongelea kuhusu kumhukumu mtoto kwa kosa ambalo hajafanya.
  6. bhachu

    Serikali inahamasisha zinaa na kuharibu familia. Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kupewa urithi

    Kwahiyo makosa ya wazazi anabebeshwa mtoto, where is natural justice? Mtoto hana hatia, hakulazimisha kuja ulimwenguni.
  7. bhachu

    Serikali inahamasisha zinaa na kuharibu familia. Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kupewa urithi

    Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ana hatia gani? Hapo wakuhukumiwa nu baba wa mtoto na sio mtoto.
  8. bhachu

    PostGE2025 Spika Zungu: Rais kanyanyua mikono karibuni tuzungumze

    😃😃😃😃😃😃😃 Zungu bana
  9. bhachu

    Kuna kitu CCM wanakilinda kwa jasho na damu ambacho hatukijui

    Naomba kujitenga kuihusisha CHADEMA na Dini.
  10. bhachu

    Kuna kitu CCM wanakilinda kwa jasho na damu ambacho hatukijui

    Bila kuingia msituni CCM haita achia madaraka
  11. bhachu

    Nzega: Chadema yaiteketeza CCM, Wananchi wapinga Utekaji, Kigwangwala apigwa na Butwaa, akimbia

    "Kigwangala apigwa na butwaa, akimbia"😃😃😃😃😃😃 Ila we jamaa bwana
  12. bhachu

    Sijui kama mambo yamebadirika ila nakumbuka zaman shulen tulikuwa tunalishwa matango pori kuhusu ujamaa na ukomunist na jinsi gani ubepari ni ushetani

    China wameachana na socialism, sahizi wameanza kuingia kwenye ubepari ndo maana wameanza kutapakaa funiani especislly Afrika, nchi nyingi za Afrika zimegeuka kitega uchumi cha china
Back
Top Bottom