Kwa kawaida upigaji wa kura humalizika saa kumi jioni na kinachofuata huwa ni kuhesabu kura,kuna uwezekano mkubwa kesho umeme ukakatwa kwa hila za kujenga mazingira ya wizi wa kura,hatutaki fujo tanesco,hatutaki giza igunga
vyombo vyetu vya habari vinakuwa vyombo vya hatari,nilikuwa nikifuatilia vyombo vyetu vya ndani ni aibu mtupu,na kikubwa hata takwimu bado ni za magumashi hadi sasa,ombwe lipo wazi kwa sasa, wenzetu amerika waliifanya dunia nzima wafuatilie lile tukio la sept 11 na hata leo wanakumbuka bado...
Kwa hali iliyopo sasa ndio hizi taasisi zingepaswa kuwa zinatoa majibu ya nini hisia za watu juu ya utawala uliopo na mwenendo mzima wa mambo katika nyanja zote,zipo kero nyingi ikiwemo mfumo wa uendeshwa wa bunge,mfumuko wa bei,maisha magumu na mambo yanayofanan na hayo,ndio kipindi hizi...
Nachelea kukubaliana na kauli ya wazri mkuu pinda kuwa kuvunjwa kwa baraza la mawaziri 2008 ni uamuzi mgumu wa serikali,historia inaonyesha maamuzi magumu yalifanywa 1967 kubinafisha mali binafsi na kuzifanya za umma,1992 licha ya 80% ya watanzania kutaka mfumo wa chama kimoja cha siasa bado...
NIMESHANGAZWA NA USIRI WA SERIKARI KTK ONGEZEKO LA MISHAHARA YA WAFANYAKAZI HASWA KIPINDI HIKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU,YOTE HAYO NAJUA NI MATOKEO YA PRESHA YA UJUMBE UNAOSAMBAZWA KWA KASI WA WAFANYAKAZI KUINYIMA KURA CHAMA TAWALA KTK UCHAGUZI MKUU UJAO,KWANGU HIKI NI KIINI MACHO,RAI KWA...
Nitafurahi na kuwa na amani sana kama kila kwenye mikusanyiko ya ibada zetu za ijumaa,jumamosi na jumapili hasa mwaka huu wa uchaguzi viongozi wa dini zote kutenga muda maalum wa kutoa elkimu ya uraia ili watu waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura,tuweke kando itikadi zetu,tulikomboe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.