Recent content by Benil

  1. B

    Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    Mimi na wife tulipoacha kujitia stress kuhusu mtoto na kuacha kuhangaika kila sehemu na kuamini kwamba ipo siku Mungu atabless, na kweli tukapata mtoto
  2. B

    Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

    Hio hali nilishawahi pitia, nachotaka kukwambia kama Mungu alikupangia kupata mtoto utapata. Acha kuhangaika kwa waganga, wewe amini ipo siku utapata mtoto. Mimi na Wife tuliacha kuwaza hili jambo na Mungu akatujaalia siku ilipowadia. Nilihangaika kama wewe ila mwisho niliachana na hayo mambo...
  3. B

    Wanawake wa kikurya ni nomaa

    Sio wote
  4. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Watu wafupi wamewakosea nini😀, hawastahili kupendwa?
  5. B

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Tunataka tujue hio site ni ipi ili tuaccess hio story
  6. B

    Nifanyeje? Mpangaji mwenzangu amekuwa ombaomba sana mpaka kero

    Umenena vyema, hii njia bora
  7. B

    Nifanyeje? Mpangaji mwenzangu amekuwa ombaomba sana mpaka kero

    Naunga mkono hoja...wasaidie kwa ulichonacho, kama huna waambie huna, Baraka zitakujia tu ukiwa mtoaji
  8. B

    Kama unatafuta nyumba ya kupanga DSM, kuna vitu vya kuzingatia usivichukulie poa!

    Hivyo vitu na finishing ya nyumba ni gharama sana, ndo mana wanashindwaga kutimiza. Wanatoa ahadi kua watakamilisha ilihali hawataweza na wanafahamu kua finishing ya nyumba ni gharama
  9. B

    Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    Kiukweli elimu ya Bongo ya kukaririshana, haikufunzi kusolve real world problems
  10. B

    Kwa Mtaji wa 2.5M nitatoboa kwenye biashara ya uwakala?

    Kwa uwakala wa Bank, angalau uwe na shilingi ngapi pamoja na vigezo vingine?
  11. B

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Mnaofuatilia Fasihinet, tupeni Mrejesho je Mimi alifufuka au ndo ilikua kwa heri kafariki
  12. B

    Hili la kuwaajiri graduate wa miaKa hii na kuwaacha wa miaKa ya nyuma sana limekaaje?

    Anaitoa wapi hio pesa ya kulipia Ada ya masters
  13. B

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Elton Tonny, mwendelezo Mkuu, ikikupendeza wikiendi hii iende poa
  14. B

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Hakika inabidi tujue, tumchangie mwamba tuendelee kupata simulizi. Hii ni simulizi bora sana
  15. B

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Mwamba Elton, ingefaa ukatupia nyingine leo, tumekaa sana kusubiri hii
Back
Top Bottom