Recent content by Ben01

  1. B

    Punguza gharama za kutumia mafuta kwenye gari lako. Sasa unaweza kutembea kilomita 180 kwa gharama ya Tsh.15,000 tu

    Je kuna suluhu gani ya kitaalamu endapo gesi itaniishia mbali na kituo?
  2. B

    INAUZWA Kwa wale wanaoteseka na maji ya chumvi pata machine ya kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

    Ndugu, jemtambo huu unaendeshwa kwa umeme, Dizel au Mafuta ya taa?
  3. B

    Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

    DURAM 275/70/R16 Unayo kampuni ipi? Picha ya kashata (Nataka kashata nene) na bei ya kizalendo tafadhali
  4. B

    Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

    Mkuu nitapata DURAM 275/70/R16? Nipe bei elekezi na ya kizalendo tafadhali
  5. B

    Mwaka wa nne huu sasa nawashwa nisaidieni

    Pole sana King In The North. Inasemekana maji ya bahari yana tiba kwa matatizo mbali mbali ya ngozi, jaribu kuyatumia angalau mara mbili kwa wiki.
  6. B

    Ugonjwa wa ajabu sana umempata mtoto

    Jaribu Kumletea mwalimu amfundishe hapo nyumbani kwa muda ili upime maendeleo ya hiyo hali yake.
  7. B

    Napitia katika changamoto kubwa

    Mdogo wangu, sijui nikuelezee vipi ili unielewe, miaka 32 ya kujitunza na kuweka malengo maishani ni kitu chema sana. Bado unayo nafasi kubwa ya kupata watoto na mume bora, ikiwezekana ongeza tu 'social circle' yako ili ukutane na watu tofauiti ktk mazingira tofauti. Nakusihi kuwa makini...
  8. B

    Week sasa silali sababu ya huyu dada.Ni mateso bila chuki

    Jitahidi uwahi wewe kulala kabla yake, akiwasha trekta (kukoroma) wewe unakuwa tayari ndotoni!
  9. B

    Mwili wangu huwa unanuka mpaka sina raha ya kuishi

    Pole sana mkuu, kama upo mikoa ya Pwani, jaribisha kuoga baharini kwa dakika 15 mpaka 20, mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni mfululizo kwa muda wa wiki moja.
  10. B

    Maajabu ya mimba ya huyu mwanamke

    Duh Umenikumbusha mbaaaali sana, bado kidogo niwe mvuta siagara sports maana mimba ya mwenzangu ilipenda sports nikawa nanunua nazificha home, akikumbuka tuu tunawasha napuliza pafu hewani anafurahia harufu ya moshi wake!!
  11. B

    Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

    Jitahidi utafute rafiki/mchumba aliye opposite kabisa na wewe kitabia (active and Punctual), ktk ku-keep up utajikuta umebadilika kabisa.
  12. B

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Waalimu hawa wamekosa kabisa maadili, hii inaleta picha mbaya sana kwetu wazazi
Back
Top Bottom