Recent content by ben van mike

  1. B

    Shamba kubwa linauzwa Mkuranga

    mbo bei hamna
  2. B

    Je, huu sio uvunjaji wa haki za msingi za binadamu unaofanywa na serikali ya Magufuli?

    Mkuu ni sheria zetu wenyewe za utumishi Hata kama unaenda kutembea nje ya nchi ni mtumishi wa serikali unaomba kibali ni sheria ipo ya miaka mingi sema tulikuwa tuna puuza
  3. B

    Kigogo wa BoT azuiwa Airport kutokana na kukosa vibali vya kusafiri nje ya nchi

    Mfanyakazi wa serikali lazima upate kibali kwenda nje shughuli binafsi au ya kikazi hii ni sheria zetu wenyewe na muongozo wa utumishi na ni kweli kwamba kuna positions Hata akitoka nje ya mkoa anasema nimeenda iringa kwa wiki 2 watu wengi hawajui taratibu lakini hivi vitu vipo kwenye sheria...
  4. B

    Madini ujenzi yanalipa

    Wazo zuri sana manake hivi viwanda vinahitaji malighafi
  5. B

    Magufuli, unayajua ya Hazina na Msajili wake mpya?

    Hapa kuna ukweli fulani nafikiri watu hwaelewi umuhimu wa kuwa na mtu makini ofisi ya hazina Huyu jamaa ni kimeo
  6. B

    TRA ni zaidi ya NHC

    Sio tatizo Hata angekuwa na nyumba Mia , tatizo kazipataje
  7. B

    Bakhresa anakwepa kodi?

    Tax evasion na tax avoidance hahahah mambo ya kodi ni magumu sana , kiufupi kulingana na sheria za nchi usishangae hana kosa lolote ,hilj ni tatizo nchi nyingi
  8. B

    Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Hili ndio tatizo letu wabongo tunaongea sana bila Hata utafiti wa nusu Saa tu , yaaani ni stori tu stori tu . Mimi naona mshahara wa mchechu ni mdogo tena wangeongeza Hata 50mln per month apewe , nhc ni moja ya mashirika makubwa East Africa by Asset valuation zaidi ya tril 2 kasome statement zao...
  9. B

    Barclays imeinunua Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)?

    Barclays kanunua absa ambao wanamilki nbc Tanzania muda Kama wadau walivyosema, Tanzania ni minority shareholder kwa hiyo Hata wakibadili jina au kuacha ni maamuzi ya barclays , ni biashara tu kutuibia hisa zetu ni suala lingine tena msajili wa hazina ni former ceo wa nbc Tanzania
  10. B

    Fursa ya biashara ya madini ya viwandani

    OK mkuu so kama nimekuelewa vizuri we unachimba haya madini ya viwandani au
  11. B

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Mi nakubaliana na wewe , sehemu moja tu ukawa mmechemsha ni kukubali kuweka watu waliokuwa sehemu ya uozo huo kwa miaka 30, Leo wanasimama wanaisema ccm wakati na wao walikuwa viongozi wakuu na hawa ndio mnataka muwape nafasi za juu , aww hapa mmechemsha ila mengine yote nakubaliana na wewe
  12. B

    Kuelekea Oktoba 25: Tathmini ndogo ya mkoa wa Njombe

    Kwa hiyo kwenye analysis yako una assume kwamba wafuasi wote wa lowassa wamejiandikisha hahahaha,
  13. B

    Ludewa: Mgombea wa CCM, Deo Filikunjombe apita bila kupingwa

    Mgombea wa pili wa chadema ndio alikuwa mpinzani Huyu wa chadema aliwekwa na Deo ,wenyeji wa ludewa wanajua sema Jamaa ana piga kazi
Back
Top Bottom