Recent content by beefinjector

  1. beefinjector

    Trump anachukiwa kwasababu anaamini kuna jinsia mbili tu na hataki wanaobadili jinsia kucheza michezo ya wanawake. Kabla hujamchukia ongeza na zako!

    Unachoongea hakina mantiki. Kama wananchi wa US wangekuwa wanafuata wanachoambiwa na media "zinazomilikiwa na Demicrats" kwa nini ameshinda uchaguzi mara 2? Kitu gani kimekuwa tofauti mpaka watu wamekitema chama chake?
  2. beefinjector

    Trump anachukiwa kwasababu anaamini kuna jinsia mbili tu na hataki wanaobadili jinsia kucheza michezo ya wanawake. Kabla hujamchukia ongeza na zako!

    Nope. Hizo ni propanganda za Fox News. Trump ameharibu uchumi wa US kwa kuendekeza upuuzi kama tarrif wars na kuiingiza US kwenye vita isiyo na tija na Iran. Ishu ya kwanza kwa Wamarekani ni uchumi, hayo mengine ni porojo tu. Kama maisha ya US yangekuwa mazuri Republicans wangeshinda uchaguzi...
  3. beefinjector

    Kix movies wanatuonaje sisi mashabiki wao

    Uongo. Sema zinapatikana kwa bei rahisi kwa kuwa ni za zamani lakini copyright ni lazima kuna mtu anamiliki.
  4. beefinjector

    Mambo 5 kwenye mchezo wa Fountain Gate vs Simba

    No. 6 - Goli la Simba lilikuwa offside.
  5. beefinjector

    Nje ya Utani wetu wa Simba na Yanga huu ndiyo Ukweli wangu baada ya Draw ya CAFCL

    Yanga hana timu ya kuvuka makundi safari hii.
  6. beefinjector

    Wengine waliongea nini na Mungu wakiwa tumboni hadi wakazaliwa familia yenye watu wenye majina makubwa?

    Pointi yangu ni kuwa hayo mazingira ya familia bora lazima yajengwe kwanza then atakayebahatika kuzaliwa humo ni everything you've mention in your post. Pia nakubaliana na wewe kuwa bahati ina-play part kwenye mafanikio.
  7. beefinjector

    Wengine waliongea nini na Mungu wakiwa tumboni hadi wakazaliwa familia yenye watu wenye majina makubwa?

    Bakhresa na Dewji (Gulam, sio Mo) hawakuzaliwa matajiri. Walifanya juhudi kutafuta mali na ndio maana watoto na wajukuu zao wamezikuta. Halafu ukiachana na Mo ambaye ndio amechukua hatamu za biashara za familia, usijidanganye kwamba watoto wa Bakhresa wamekaa tu kwa kuwa Baba ana hela, jamaa...
  8. beefinjector

    Wengine waliongea nini na Mungu wakiwa tumboni hadi wakazaliwa familia yenye watu wenye majina makubwa?

    Hizo familia unazoziita za wazito zilifika hapo kwa juhudi za wachache. Na wewe una fursa ya kuanzisha dynasty.
  9. beefinjector

    Msaada nauliza bei ya kufanya interview Wasafi fm,Clouds, Eatv nimetoa wimbo mpya

    Kama ngoma ni ya moto kweli huhitaji kulipia utambulisho. Tumia social media, tag watu ambao wanaweza kufanya wimbo uwe viral. Believe me kama ni wa moto lazima utoboe.
  10. beefinjector

    Ballon d'Or wabadili gia angani baada ya Cristiano Ronaldo kuongoza kwa idadi ya kura kwenye B.O.A.T

    Mmeshindwa uwanjani mmekimbilia kwenye tuzo. Ronaldo hata apate 100% na Messi 0% hawezi kupata prestige ambayo nyie stans wake mnataka kulazimisha.
  11. beefinjector

    A Night Date with a Man

    Hapo kwenye NB subiri povu jingi!
  12. beefinjector

    Hakuna timu yeyote Barani Africa inayotamani kukutana na hii Simba ya Steve Barker

    Kwa timu zipi mlizocheza nazo? Tunasubiri muanze kulia kuwa Mangungu hafai.
Back
Top Bottom