Recent content by Beberu

  1. Beberu

    Hakuna mtu anayetafuta pesa ya halali akaitupe bar

    Haha kwa hio walimu/Drs/eng/ wanaolipwa kisha kwenda bar nao wanafanya kaz haramu?
  2. Beberu

    FIKIRIA WANAOMEZA ARVZ KILA SIKU 😢 😭 😢

    Waambie waache halafu waone watatoboa miez mingap
  3. Beberu

    Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

    Nunua Erector 100mg, au kama una hela nunua Saheal piga kabla ya show, Huku ukiendelea kuboresha lishe yako na mazoez
  4. Beberu

    Huyu rafiki yangu anatokaje kwenye hili..?

    Mkuu, atoe mimba tu hio chap
  5. Beberu

    Industrial plot for sale at Kigamboni Kimbiji

    Eka moja 450M, wenye hela wana hela kweli
  6. Beberu

    Ni kituko Tanzania nchi ya watu weusi kwa asilimia 90% kutambulika zaidi kupitia Wahindi na Waarabu.

    Hao 10% pia wana haki ya kutambulika, Kwani mashindano mangapi ya miss kimataifa wameenda wanawake weusu?
  7. Beberu

    Subaru Forester & Mitsubishi Outlander nichukue ipi?

    Mkuuu, nipe updates, Uneionaje outlander?
  8. Beberu

    UNBS seizes 79 tonnes of underweight cement in Kampala

    Wapuuzi hao, Badala wakakamate wazalishaji na inporters wao wanahangaika na retailer
  9. Beberu

    KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

    Niny mbwa hata msipolipwa sawa tu kenge
  10. Beberu

    Siamini kauli ya keki ni kubwa kwajili yetu wote kwenye biashara yenye ushindani, Biashara ni vita !!

    Mkuu hapo wanakuwa wanamaanisha kuna wateja wengi hamjawafikia, Nitakupa mfano wa mabank hii nchi, au mitandao ya simu, licha ya ushindani mkali ila utaona mapato na faida ya kila mmoja inazidi panda mwaka hadi mwaka, So hata kwenye biashara za kawaida, ushindani ndio upo, ila wote mtapata faida
Back
Top Bottom