Recent content by bea

  1. B

    Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

    Kwann kuchelewesha hivo jaman
  2. B

    Rais Magufuli wa Tanganyika 2015-2020

    Kinjekitile Ngwale
  3. B

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Hawa ndio wale wajinga wanatakiwaga kumalizwa kama wezi wa kuku
  4. B

    Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

    Dalili ya mvua ni mawingu hakuna mtu mpole au muoga dunian ni level tu zinatofautiana
  5. B

    Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

    CCM haitaki rafu zinazofanyika majimbino au zinazotarajiwa kufanywa dhidi ya vyama vya upinzani zitangazwe na vyombo vya habari.Inataka isifiwe ili wananchi wasijue maivu yake Tanzania nakulilia
  6. B

    Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

    Mzee alisema mengine sitaki kuyaongea ataongea Waziri wa afya
  7. B

    Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

    Sawa kumbe kelele na ushauri wote unaotolewa hapa mzee huwa anaona lakin kwa kuwa yeye hakuna wakumgusa anaweza kufanya lolote hakuna tatizo tutafika japo kwa kusuasua
  8. B

    Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

    Mbona naona hii hotuba nzuri sana!Kweli sikio la kufa halisikii dawa!!!!!
  9. B

    Ubabaishaji wa mfuko wa PSSSF

    Sheria mpya ya mafao inakandamiza wanachama.Lakini serikali ilisema imesitisha utekelezaji wa sheria mpya lakini tayar ilishaanza kufanya kazi
Back
Top Bottom