Recent content by bcng

  1. B

    Siasa za ajira za GPA na hatma ya vyuo vyetu vya Madaktari Tanzania

    Wyatt Mathewson, Uko vizuri
  2. B

    USHAURI: Moyo wangu umetekwa na mwanafunzi

    Hujaelezea vizuri,ni mwanafunzi wa aina gani?
  3. B

    Kama mpenzi wako haweki last seen kwenye WhatsApp anamaanisha nini ?

    Umeongea kama ulikuwa kwenye akili yangu, asante sana mkuu.Sijawahi muuliza, i was just curious lkn pia kupata perspective kwa watu wengine wenye akili kubwa kama nyie
  4. B

    Kama mpenzi wako haweki last seen kwenye WhatsApp anamaanisha nini ?

    Asante sana kwa komenti mkuu,, ila kwamba atanitikisa , amefail na amechelewa sana..i appreciate your comment
  5. B

    Kama mpenzi wako haweki last seen kwenye WhatsApp anamaanisha nini ?

    Ungekaa kimya ingekuwa hekima Zaidi...nyie ndio watu wazma mnashundwa washauri vijana...ulimwenhu wa saivi sio zamani
  6. B

    Kama mpenzi wako haweki last seen kwenye WhatsApp anamaanisha nini ?

    Hapana mkuu, soma vizuri uzi, nilisema itakuwa vizuri kama ningepata pia toka kwa wadada..kwani wao wanajuana zaidi
  7. B

    Kama mpenzi wako haweki last seen kwenye WhatsApp anamaanisha nini ?

    Lkn mkuu hiyo last see sio kwangu tu,lkn pia ni kwa Kila aliyeko kwenye contact zake, concern yangu kwa Nn aweke hiyo wakati hajawai fanya hivyo?
Back
Top Bottom