Recent content by baz kaiza

  1. baz kaiza

    Ni kituko na kichekesho Rais kutafuta Maridhiano na Vyama vilivyomuunga Mkono na vikasema UCHAGUZI Ulifanyika kwa uhuru na haki na Amani!!.

    Umeshaingiziwa pesa kwenye Account unakuja kuandika mavi hapa kwa ujira mdogo
  2. baz kaiza

    Maridhiano ni kuchelewesha Vita ya Wenyewe

    Nyie kila mtu ni chadema hii mentality ndo itaenda kuzika CCM
  3. baz kaiza

    Ujinga mliofanya kupeleka uchaguzi bila chama kikuu cha upinzani ndo mnarudia yalele kwenye maridhiano hamjifunzi!

    Nchimbi yuko wapi? Lissu yuko jela Je nchimbi yuko wapi?
  4. baz kaiza

    Ujinga mliofanya kupeleka uchaguzi bila chama kikuu cha upinzani ndo mnarudia yalele kwenye maridhiano hamjifunzi!

    Naweza kusema mnarudia same mistake nyie mna vichwa vya kuku huyu kuku unaweza kumfukuza anakula mahidi baada sekunde chache anarudi palepale ulipo mfukuza kwenye mahindi kudonoa. Viongozi wamekua na vichwa vya kuku sifa ya kuku kupotenza kumbukumbu kwenye suala la ulaji . Tumeona...
  5. baz kaiza

    Rais Samia afanya kikao na Vyama vya Siasa Ikulu Dar

    Hizi propaganda haziwezi kusandia Nchi.
  6. baz kaiza

    Kuinusuru Tanzania ni kuvunja vunja mfumo wa Usalama wa Taifa na kuundwa upya

    Lazima tukubali kuvunja mfumo huu uliovaa koti la usalama wa taifa kumbe sio kweli wanatumia Nembo na rasilimali za taifa kwa ajili ya maslahi ya kikundi cha watu wachache sana. Kweli tukitaka kupona lazim tuvunje huu mfumo kwa sasa namna ya...
  7. baz kaiza

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    Unaandika upumbavu samahani sana Ndejembi ana istoria gani katika nchi aliwahi kufanya nini zaidi kua kijana Jakaya Kikwete kumpa kazi GSM sometimes mnaona wananchi ni wajinga kwamba aya hawayajui kwa nini Lissu yuko jela kwa kesi za kipumbavu kwamba wananchi hawajui kwamba Lissu yuko jela...
  8. baz kaiza

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    Makamu wa Rais anapeleka maendeleo vijijini kwa bajeti gani?
Back
Top Bottom