Ungejua fukuto lilimo ndani wanatamani hata muda hurudi nyuma wabadili hukumu
Ni dhihaka na fedheha , wale wawkezaji ambao walikuwa kwenye pipe wamerudi nyuma na waliopo wataondoka maana Mahakama zetu Duniani zimeandikwa vibayano
Poleni Tanganyika
Lissu ana bahati ya kujua michezo ya Siasa mapema japo yupo gerezani ile kauli ya Kusema HECHE PIGA KAZI UNA BARAKA ZANGU ilimgusa pia mtu kama Lema ndio maana aliwahi mwambia haya maneno LEMA ACHA HIZO
Kiufupi Lissu anamjua Lema In and Out
Ndio maana kwenye Kampeni za Chama chao Lema...
Sijajua analysis umeifanyaje kugawanyika ni kawaida ila tunaangalia mzani
Lema kazidiwa na amekuwa branded rasmi kama MSALITI/DALALI hatoaminika kabisa hata na wenzake kwenye CC tuko hapa
Lema ameshapoteza
Kuhusu u CCM au upinzani karibia kizazi Cha 1990 kurudi nyuma wote ni CCM ila wamebadilika na wanaoinjinia Mapambano ya ukombozi wengi walikuwa CCM , ila Hali iliwabadilisha
Iko hivi Mange anatumika na kupewa info na kundi ndani ya mfumo ambalo halimtaki SAMIA na Lema anatumika ndani ya mfumo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.